Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
hata sisi wanywa kahawa na kashata tunaenjoy sana,Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.
Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.
Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.
Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.
Nini siri kubwa ya mafanikio?
Zinapatikana wapi aiseeSiri ya mafanikio ni hela mkuu
Nakuja unieleze siri ya mafanikioUko wapi uje tulewe?
Mioyo ya Watu ni giza = Kitanda usicholalia huwezijua kunguni wake...[emoji2960]Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.
Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.
Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.
Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.
Nini siri kubwa ya mafanikio?
Kwa Yesu mkuuuZinapatikana wapi aisee
HahahaKwa Yesu mkuuu
Nipo Rombo shekilango hapa wahi 🤣🤣🤣Nakuja unieleze siri ya mafanikio
FactZinapatikana wapi aisee
Maana yake nini?Mioyo ya Watu ni giza = Kitanda usicholalia huwezijua kunguni wake...[emoji2960]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app