Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

Tatizo furaha is temporary. Hitaji la mwadamu ni amani. Amani Ina furaha ndani yake ila sip Kila furaha Ina amani
 
Kama mke wako anakunywa pombe Hilo Ni tatizo kubwa sana, pombe haimfai mke wa mtu, pombe ina addiction Kama madawa ya kulevya.
Kwakweli hapo umeongea demu mlevi kula ni sekunde tu kuna siku maji yatazidi unga wahuni watamaliza halafu itakuwa siri yao nimeshashuhudia mara nyingi haya mambo tena kwa watu naowajua mkojo wa firauni sio mchezo
 
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.

Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.

Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.

Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.

Nini siri kubwa ya mafanikio?
Furafa gani kulala kwenye mitaro?
Furaha gani koplo mzima anamvisha mwanamke kofia ya usalama barabarani baada ya kulewa?
Furaha gani mtu anakunyaa kinywaji huku amejifunga mipira ya manati mapajani?
 
Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu.

Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale.

Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana.

Na vile vile pamoja na maisha kuwa magumu mtaani bado hawa watu hawakosi pesa ya kuburudisha bongo zao.

Nini siri kubwa ya mafanikio?
TII KIU YAKO KIU HAIIGWI
 
Kama mke wako anakunywa pombe Hilo Ni tatizo kubwa sana, pombe haimfai mke wa mtu, pombe ina addiction Kama madawa ya kulevya.
Pombe ina addiction kama ngada?? Your not serious aiseeee
 
Back
Top Bottom