Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa.
Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini.
Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana amani kabisa.
Mwanamke alozaa nae hatulii, na kila siku anamuomba hela ya matumizi ya mtoto, akichelewesha kidogo tu anapelekwa kwenye vyombo vya sheria.
Huyo mwanamke hataki baba mtu amuone mtoto, yaani kuna muda anaomba nauli amlete mtoto kwa baba ake lakini nauli inaliwa. Kuna muda baba mtu mwenyewe anaenda kumuona akifika mlango umefungwa na simu haipokelewi. Jana kakomaa kwenda kumuona kwa kushtukiza akakuta mwanamke kahama nyumba aliokua amepanga.
Wanaume tuwe makini sana, wanawake wa siku hizi ni nusu vichaa, nusu mataahira