Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

Hii quotes nimeona kwenye video moja YouTube ya wale Childfree by choice...Hawataki kuzaa kabisa .

Watu wanadai ulimwengu unazidi kuwa hovyo so kumleta mtoto ni hatari zaidi ,hata huku ulaya ishu ya ajira imekuwa tatizo kutokana na robot ila baadaye kuna uwezo mkubwa watu wengi wakawa maskini hasa wasiokuwa na vipaji maalumu.
Kwa kifupi hata uchumi uwe mzuri kiasi gani bado kumleta mtoto duniani ni kama ujikute gerezani alafu ufanye juu chini umlete huko rafikiako, mzazi wako au watoto wako.
Wewe fikiria tu ikitokea vita wanakusanya vijana wenye nguvu wanawapeleka mstari wa mbele. Sasa ukute ndio watoto wako wana umri labda wa miaka 20 uone wakisombwa kupelekwa kupigana kwa maslahi ya wanasiasa.
Ni vile tu nina machalii wangu tayari ila ningetambua mapema ningeepuka hili jambo nile bata langu hata nikifa nisiache historia
 
Machungu mengine : mwanao unakuta shule anafeli ,mwingine anakosa kazi na ukizaa mlemavu ndio matatizo zaidi...Siku akifa unapata maumivu zaidi.
 
Machungu mengine : mwanao unakuta shule anafeli ,mwingine anakosa kazi na ukizaa mlemavu ndio matatizo zaidi...Siku akifa unapata maumivu zaidi.
Kitu ambacho wanadamu hatujaelewa ni kwamba hatupo hapa duniani kwa maslahi yetu bali ni kwa maslahi ya tawala fulani fulani za siri.
Yani tupo kutimiza mission za mabwana fulani waliojificha mbele za macho yetu wakishirikiana na wanadamu wachache sana
Mtego waliotuwekea ni tendo la ndoa! Tendo la ndoa ni injini yao ya kuendeleza mambo yao kupitia wanadamu kwakua kwenye huu mtego ndiko kunakoleta watoto kwaajili ya kuendeleza yale wanayoyataka.
Ukishakua na watoto unakua umekaza vifungo vyako zaidi ili mzunguko uwe mzuri kwao alafu mgumu kwako ndani ya gereza hili.
Na ukiwa mjanja sana lazima uwe kichaa mbele ya wafungwa wenzako/wanadamu wenzako
 
Yaani nakupa asante zote nilizokusanya tangu asubuhi. Hli ni muhimu sana sana. Angalia sana mwanamke wa kuzaa naye. Ukishazaa na mwanamke basi umeunganisha bondi ambayo hutaweza kuikata kirahisi unavyodhani. Kama ni hawa ''vishikwambi'' wa mtaani, basi jitayarishe kuumia sana sana hasa kama wewe mwanaume ni mstaarabu. Nichogundua ni kwamba wanawake wa uswazi wanatakiwa kuzaa au kuolewa na wanawaume wa uswazi. Wanawezana. Lakini wewe njemba mwenye ''utu'' na haiba yako ukikosea na kuzaa nao utakiona kilichomnyoa kanga manyoa. Nilikutana na kisa cha jamaa aliyezaa na hii type ya wanawake akasema alikaribia kufa kwa mawazo. Mtoto alikuwa anachukuliwa anapekwa hospitalini (haumwi) anawekwa kwenye mashine ya kupumulia, na na drip fake, moja ya damu nyingine dawa, inapigwa picha, akitumiwa jamaa anaambiwa ''hata kama huna namna kopa haraka sana hali yake mbaya''. Mpaka aje agundue huu ujanja alikuwa amechoka...
Kuna wanawake n hatari sana kuzaa nao.
 
Acha muipate pate si mnaona condom zinapunguza utamu,
 
Back
Top Bottom