Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

Kwa kifupi hata uchumi uwe mzuri kiasi gani bado kumleta mtoto duniani ni kama ujikute gerezani alafu ufanye juu chini umlete huko rafikiako, mzazi wako au watoto wako.
Wewe fikiria tu ikitokea vita wanakusanya vijana wenye nguvu wanawapeleka mstari wa mbele. Sasa ukute ndio watoto wako wana umri labda wa miaka 20 uone wakisombwa kupelekwa kupigana kwa maslahi ya wanasiasa.
Ni vile tu nina machalii wangu tayari ila ningetambua mapema ningeepuka hili jambo nile bata langu hata nikifa nisiache historia
 
Machungu mengine : mwanao unakuta shule anafeli ,mwingine anakosa kazi na ukizaa mlemavu ndio matatizo zaidi...Siku akifa unapata maumivu zaidi.
 
Machungu mengine : mwanao unakuta shule anafeli ,mwingine anakosa kazi na ukizaa mlemavu ndio matatizo zaidi...Siku akifa unapata maumivu zaidi.
Kitu ambacho wanadamu hatujaelewa ni kwamba hatupo hapa duniani kwa maslahi yetu bali ni kwa maslahi ya tawala fulani fulani za siri.
Yani tupo kutimiza mission za mabwana fulani waliojificha mbele za macho yetu wakishirikiana na wanadamu wachache sana
Mtego waliotuwekea ni tendo la ndoa! Tendo la ndoa ni injini yao ya kuendeleza mambo yao kupitia wanadamu kwakua kwenye huu mtego ndiko kunakoleta watoto kwaajili ya kuendeleza yale wanayoyataka.
Ukishakua na watoto unakua umekaza vifungo vyako zaidi ili mzunguko uwe mzuri kwao alafu mgumu kwako ndani ya gereza hili.
Na ukiwa mjanja sana lazima uwe kichaa mbele ya wafungwa wenzako/wanadamu wenzako
 
Kuna wanawake n hatari sana kuzaa nao.
 
Acha muipate pate si mnaona condom zinapunguza utamu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…