watu wanaoongoza kupendwa sanja humu JF

watu wanaoongoza kupendwa sanja humu JF

Ugali jiwe, mboga mbigili.
Nampenda Cantalisia, mkewe Rejao, Chit-Chat asilia ndo wanamjua huyu. Nyie Chit-Chat 4G hamumfahamu kabisa huyu...
 
Last edited by a moderator:
hahhahaha karibu mida ya saa kumi si unajua leo Nusu siku.... kesho Eid kwa hiyo leo Komon mpaka bujee sakai isakaiiii...

acha kabisa...........kesho asubuhi tunazimulia supu afu tunasubiri gawio la mnofu kutoka kwa wenzetu wenye skukuu
afta zati .........tunaendelea na komoni mpaka kuchweeee afu mpaka kucheeeee
 
acha kabisa...........kesho asubuhi tunazimulia supu afu tunasubiri gawio la mnofu kutoka kwa wenzetu wenye skukuu
afta zati .........tunaendelea na komoni mpaka kuchweeee afu mpaka kucheeeee

kweli kabisa na hivi magufuli kasema serikali siyo masikini hope mshahara utakuwa umeingia

ila tukumbuke ulevi siyo mzuri kwa afya zetu... japo baa kuna paking usiende na gari tumia tax
tukuikale ugimbi mpaka kukuche... karibu ndovu.jpg
 
acha kabisa...........kesho asubuhi tunazimulia supu afu tunasubiri gawio la mnofu kutoka kwa wenzetu wenye skukuu
afta zati .........tunaendelea na komoni mpaka kuchweeee afu mpaka kucheeeee

Hapo unakosea sasa, dawa ya moto ni moto.
Pombe huzimuliwa na pombe sheikh, astaghafirulah! Hayo ya supu, sijui maji baridi na nini nini ni kwa watoii, si kwa sie wakubwa.
 
Back
Top Bottom