Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika, mwandishi yuko sahihi kabisa.

Ndugu GENTAMYCINE, mpwayungu village, na Unique Flower, Ni wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.

Ambapo siku ya 31/12/2022 walifanikiwa kutoroka hospital na kuiba simu za ofisi 3, kisha wanaanza kuropoka hovyo.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo wavumilieniii
 
Daah! Hii kali hahahaa 🤣🤣🤣
 
Chizi Maarifa na trudie mtoto wenu anaendeleaje hahaa! Hawa jamaa huwa wanafurahisha sana🤣🤣🤣
Ndugu yangu.... Tuliyamaliza... Unadhani nlitoroka naye basi? Ni vile tu wanawake wanapenda huruma. Sema baadaye alielewa alikosea wapi akajishusha ...nlimwambia hajapewa mimba JF so why iwe matangazo?
 
Ni ulimbukeni kumchukia mtu ambae kiuhalisia yupo kinadharia zaidi, maana kuna baadhi ya watu wanachangia kama mademu kumbe midume, kuna mafukara wanaojifanya matajiri. Kwa kifupi kumchukia mtu wa JF ni sawa na kumchukia actor anaeigiza kama adui kwenye movie, ni maigizo tu.

Katika point hiyo hiyo, kuna baadhi ya watu wanatafuta kuchukiwa kwa makusudi ili iwe ndio umaarufu wao. Maana unaweza kuta jitu linatukana tu pasi na sababu za msingi.

Kama vile baadhi tunavyofanya JF kuwa sehemu ya kupoteza muda, kuna wengine ndio sehemu pekee uwepo wao unatambulika hata ukiwa ni kwa jina la uongo. Ili kujipa thamani ya nafsi yake (validation and self-worth) ndio unakuta anaanzisha maugomvi yasiyo na tija. Ukichunguza walio wagomvi wengi humu utakuta maisha yao halisi yamejaa upweke na jitimai.
 
Back
Top Bottom