Watu wanaopenda Internet data njooni apa

Leviz

Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
61
Reaction score
85
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
 
Anyway, Halotel wana SIM Card za M2M nenda halotel shop
 
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
 
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Yani huwezi kunitenganisha na Yas Fiber japo shida huwezi kuhama nayo. Kwa 55000 napata mb hadi 120 kwa sekunde mwezi mzima japo wao wanasema inapaswa nipate 20mbs ila napata speed kubwa.
1737373624045.png
 
Back
Top Bottom