The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Kwa wale wenzetu wengine wazee wa hosts na servers naimani mnanielewa 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bando gani zuri kwa data halotel?Loo voda ,eatel hapana aisee ninazo zote ila zimebaki tu Kwa mtumizi mengine sio internet
Kwenye internet kiukweli halotel ndo inayojitahidi Kwa ss
Nielekeze namna ya kujijnga hiyo buku GB 1.Ukiacha hihi wanavyoeleza hapa Kwa line maalum
Mi natumia ya kawaida tu ila Ina menu 2
So menu nayotumia Kila kifurushi unapewa double
Mfano , 1000=490mb unapewa mara 2
So itategemea unajiunga kipi
Mi huwa najiunga Cha buku 5 au 3 Kwa wiki
Ni km Kila buku gb 1
Naona ni afadhali
SS ngoja niende hiyo line maalumu nione😃
Line zenye menu *148*55#Bando gani zuri kwa data halotel?
Acha ubinafsiView attachment 3211884
Kwa wale wenzetu wengine wazee wa hosts na servers naimani mnanielewa 😁
Shida hosts mda wowote zitapotea hivyo huwenda ukajiunga ila ikipotea najua utanilaumu mimi , anyway unatumia cm yenye eSIM?Acha ubinafsi
Kwani ukituelewesha wote Kuna nn jmn
SawaShida hosts mda wowote zitapotea hivyo huwenda ukajiunga ila ikipotea najua utanilaumu mimi , anyway unatumia cm yenye eSIM?
Njia zipo Mbili ,Moja nenda Voda shop kama upo karibu ya pili Wacheki kupitia Mitandao ya Kijamii watakupa mtu wa kukuungisha Bure kabisa uwe na vigezo husikaNaipataje h au ndo mpaka niende Voda shop?
Njoo ujipatie hiyo menu ya SME free. Sio lazima uje na TIN number.Tin number hata za kazini zinafaa
Kama unahitaji bundle za Airtel SME. Njoo na namba yako ya simu. Hata kama huna TIN wala leseni. Nitakupatia hiyo menu ya SME then utajiunga mwenyewe kifurushi unachotaka. Hupaswi kutuma pesa ili nikuungie. UNAJINUNULIA BANDO WEWE MWENYEWE.Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
Karibu Vodacom mzeeLoo voda ,eatel hapana aisee ninazo zote ila zimebaki tu Kwa mtumizi mengine sio internet
Kwenye internet kiukweli halotel ndo inayojitahidi Kwa ss
Inategemeana na laini unayotumia pia inategemeana na bando ni la wiki au mwezi.Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Wahuni tu haoJamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?