Watu wanaopenda Internet data njooni apa

Watu wanaopenda Internet data njooni apa

Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
Ok , though still Bado halotel is the best
 
Nipe mahesabu yake.
Ukiacha hihi wanavyoeleza hapa Kwa line maalum

Mi natumia ya kawaida tu ila Ina menu 2

So menu nayotumia Kila kifurushi unapewa double
Mfano , 1000=490mb unapewa mara 2
So itategemea unajiunga kipi

Mi huwa najiunga Cha buku 5 au 3 Kwa wiki
Ni km Kila buku gb 1

Naona ni afadhali

SS ngoja niende hiyo line maalumu nione😃
 
Kumbuka hiyo ya SME inakupa GB 22 kwa 20,000/= Na kama unataka airtime unapata dk 1,200 kwa 5,000/=
 
Unanunua line special kwaajili ya data hiyo haupigi Wala kutumia text. Then unajiunga tu ni 50000 kwa siku 30 unlimited bundle
Ninayo hiyo but sipati unlimited, 50K napata kama 68GB. Hapa penyewe nishaandaa Laki kwa ajili ya bando ya mwezi ujao ambapo ni kama 210GB. Kama nikipata hiyo option hii hamsini nitaenda kunywea bia...
 
Ipo unaunga vifurushi maalumu vya biashara M2M piga kwenye line ya halotel ya kawaida nenda option number 5 zawadi na kushare utaikuta halafu unanunulia hicho kifurushi cha kifahari ni elfu 50 siku 30 unlimited
 
Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipo
Mimi inanileta hapa
IMG_20250123_140125.jpg

Au ni mpaka uunganishe na mtoa huduma?
 
Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipo
Mimi inanileta hapa
View attachment 3211064
Au ni mpaka uunganishe na mtoa huduma

Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipo
Mimi inanileta hapa
View attachment 3211064
Au ni mpaka uunganishe na mtoa huduma?
Hamna unalipia kupitia line ya kawaida unapiga*148*66# unachagua zawadi kushare unaenda kifurushi maalumu cha biashara M2M unachagua kifahari siku 30 unalipia unapata.
 
Wakuu msaada please? Nina line special ya halotel nataka kujiunga na bundle la 50k la kifahari unlimited. Iyo menu kwangu naweza kuifikia ila nashindwa kununua kwasababu sijui hera nawekaje kwenye simu maana kwa mawakala hawawezi kuiwekea hera line iyo.
 
Njoo nikuuzie bando
 
Attachments

  • Screenshot_20250123-211939.png
    Screenshot_20250123-211939.png
    91.7 KB · Views: 7
Kuna tigo postpaid ni wewe na tin number yako tu , nenda tigo shop
15,000 - 15GB
30,000 - 35GB
na kuendelea na vyote hudumu kwa mwezi
 
Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
Bhana, tunaulizia Halotel.
 
Back
Top Bottom