Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ok , though still Bado halotel is the bestAirtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
Nipe mahesabu yake.Ok , though still Bado halotel is the best
Nafikiri ni business TIN.Tin number hata za kazini zinafaa
Ukiacha hihi wanavyoeleza hapa Kwa line maalumNipe mahesabu yake.
mooYani huwezi kunitenganisha na Yas Fiber japo shida huwezi kuhama nayo. Kwa 55000 napata mb hadi 120 kwa sekunde mwezi mzima japo wao wanasema inapaswa nipate 20mbs ila napata speed kubwa.
View attachment 3207347
Kumbuka hiyo ya SME inakupa GB 22 kwa 20,000/= Na kama unataka airtime unapata dk 1,200 kwa 5,000/=Ukiacha hihi wanavyoeleza hapa Kwa line maalum
Mi natumia ya kawaida tu ila Ina menu 2
So menu nayotumia Kila kifurushi unapewa double
Mfano , 1000=490mb unapewa mara 2
So itategemea unajiunga kipi
Mi huwa najiunga Cha buku 5 au 3 Kwa wiki
Ni km Kila buku gb 1
Naona ni afadhali
SS ngoja niende hiyo line maalumu nione😃
Mitandaobi ndio wapiContent creater ndio kazi gani?
Ndio nyie mnaanika maisha yenu, kuwapiga watu picha na video bila idhini zao na kutundika mitandaobi?
Ninayo hiyo but sipati unlimited, 50K napata kama 68GB. Hapa penyewe nishaandaa Laki kwa ajili ya bando ya mwezi ujao ambapo ni kama 210GB. Kama nikipata hiyo option hii hamsini nitaenda kunywea bia...Unanunua line special kwaajili ya data hiyo haupigi Wala kutumia text. Then unajiunga tu ni 50000 kwa siku 30 unlimited bundle
Yeah, zipo. Kwa internet only...Kumbe Kuna line maalum?
Ipo unaunga vifurushi maalumu vya biashara M2M piga kwenye line ya halotel ya kawaida nenda option number 5 zawadi na kushare utaikuta halafu unanunulia hicho kifurushi cha kifahari ni elfu 50 siku 30 unlimitedNinayo hiyo but sipati unlimited, 50K napata kama 68GB. Hapa penyewe nishaandaa Laki kwa ajili ya bando ya mwezi ujao ambapo ni kama 210GB. Kama nikipata hiyo option hii hamsini nitaenda kunywea bia...
Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipoIpo unaunga vifurushi maalumu vya biashara M2M piga kwenye line ya halotel ya kawaida nenda option number 5 zawadi na kushare utaikuta halafu unanunulia hicho kifurushi cha kifahari ni elfu 50 siku 30 unlimited
Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipo
Mimi inanileta hapa
View attachment 3211064
Au ni mpaka uunganishe na mtoa huduma
Hamna unalipia kupitia line ya kawaida unapiga*148*66# unachagua zawadi kushare unaenda kifurushi maalumu cha biashara M2M unachagua kifahari siku 30 unalipia unapata.Mara zote huwa nafaya hivyo but hiyo option ya unlimited haipo
Mimi inanileta hapa
View attachment 3211064
Au ni mpaka uunganishe na mtoa huduma?
Sijui nikujibu, ila hapana.Mitandaobi ndio wapi
kuna voda SmeSisi wa Voda mnatusaidiaje, mana Mm tangu nimeanza kutumia simu mpaka sasa natumia Voda tuu
Naipataje h au ndo mpaka niende Voda shop?kuna voda Sme
Bhana, tunaulizia Halotel.Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=