Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja,
Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini.
Katika uislamu, je jambo hili ni sawa. Kutongoza tongoza wanawake wakati kila siku wewe ni mtu wa ibada. Au ni bora uwe ukafanya tu ujulikane?