Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

Watu wanaosali muda huo kisha baada ya hapo anafanya ufusika hiyo ni sahihi?

Vatican Papa ameruhusu mashoga kubarikiwa,hata waliobadili jinsia nao wanabarikiwa,kifupi mmeruhusiwa kupelekeana moto,

Hilo unaliongeleaje hapo?
Shoga ni CEO wa kampuni ya Apple, hakuna teja wa Heroine-Opium anayeruhusiwa hata kufagia ofisi ya Apple.
 
Unaambiwa huku kwenye ukristo yesu alikufa Kwa wenye dhambi. Anasema yesu mwenyew kuwa wenye afya hawahitaji tabibu Bali wale hawawezi(wagonjwa)
 
Shoga ni CEO wa kampuni ya Apple, hakuna teja wa Heroine-Opium anayeruhusiwa hata kufagia ofisi ya Apple.
Unakwepa swali au ndio uwezo wako wa uelewa ni mdogo?

Nimeuliza issue ya Papa,mambo ya Apple yanaingiaje kwenye swali langu?
 
Unakwepa swali au ndio uwezo wako wa uelewa ni mdogo?

Nimeuliza issue ya Papa,mambo ya Apple yanaingiaje kwenye swali langu?
Mashoga wana shida gani kwako au kwa jamii yako? Hata kwa Papa mashoga hawana shida yoyote, ni kiherehere na ujinga tu ndio kinawafanya watu wawafuatilie mashoga .
Kwa Upande mwingine Drug dealers na watumiaji Heroine ni shida kubwa kwa dunia.
 
Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja,

Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini.

Katika uislamu, je jambo hili ni sawa. Kutongoza tongoza wanawake wakati kila siku wewe ni mtu wa ibada. Au ni bora uwe ukafanya tu ujulikane?
Una uzoefu na ufusika. Hongera zako
 
Mashoga wana shida gani kwako au kwa jamii yako? Hata kwa Papa mashoga hawana shida yoyote, ni kiherehere na ujinga tu ndio kinawafanya watu wawafuatilie mashoga .
Kwa Upande mwingine Drug dealers na watumiaji Heroine ni shida kubwa kwa dunia.
Basi sawa,
Msalimie mumeo.
 
Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja...
Jambo hilo si sawa, na Hakika ya swala iliyoswaliwa vizur kwa kutimia ahakam na sharti zake inatakiwa imzuie/Imkataze mswaliji kutokana na uovu na uchafu.

Hivyo ikiwa mtu atakuwa anaswali lakin bado hajaweza kujizuia na maovu basi kuna shaka ya swala yake haijakubaliwa.

Ila hatakiwi kuacha kuswali aendelee kuswali.

Ila Pia ilikupasa kumfikishia Nasaha kabla ya kutufikishia sisi huku. Kwasababu Ukichelewa tu kutoa naswiha utajikuta umetumbukia kwenye dhambi ya Kusengenya.

Maula atuongoze
 
Back
Top Bottom