Shoga ni CEO wa kampuni ya Apple, hakuna teja wa Heroine-Opium anayeruhusiwa hata kufagia ofisi ya Apple.Vatican Papa ameruhusu mashoga kubarikiwa,hata waliobadili jinsia nao wanabarikiwa,kifupi mmeruhusiwa kupelekeana moto,
Hilo unaliongeleaje hapo?
Unakwepa swali au ndio uwezo wako wa uelewa ni mdogo?Shoga ni CEO wa kampuni ya Apple, hakuna teja wa Heroine-Opium anayeruhusiwa hata kufagia ofisi ya Apple.
Mashoga wana shida gani kwako au kwa jamii yako? Hata kwa Papa mashoga hawana shida yoyote, ni kiherehere na ujinga tu ndio kinawafanya watu wawafuatilie mashoga .Unakwepa swali au ndio uwezo wako wa uelewa ni mdogo?
Nimeuliza issue ya Papa,mambo ya Apple yanaingiaje kwenye swali langu?
Una uzoefu na ufusika. Hongera zakoJamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja,
Huyu jamaa ana familia na watoto ila anachonishangaza ni, anatongoza mabinti wadogo wazuri bila kujali wameolewa au raha. Alafu mchana na jioni anaenda kuswali msikitini.
Katika uislamu, je jambo hili ni sawa. Kutongoza tongoza wanawake wakati kila siku wewe ni mtu wa ibada. Au ni bora uwe ukafanya tu ujulikane?
Basi sawa,Mashoga wana shida gani kwako au kwa jamii yako? Hata kwa Papa mashoga hawana shida yoyote, ni kiherehere na ujinga tu ndio kinawafanya watu wawafuatilie mashoga .
Kwa Upande mwingine Drug dealers na watumiaji Heroine ni shida kubwa kwa dunia.
Jambo hilo si sawa, na Hakika ya swala iliyoswaliwa vizur kwa kutimia ahakam na sharti zake inatakiwa imzuie/Imkataze mswaliji kutokana na uovu na uchafu.Jamaa mmoja bwana ana swali karibia kila siku, ifikapo mchana na hata jioni uwa namuona anaswali katika msikiti mmoja...