Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Juzi kuna dada aliniomba nimsetie simu yake ilikuwa haiwashi data

Ilikuwa ni apn zili miss baada ya yeye kui reset simu

Sasa wakati ananipa alinipa ikiwa katika upande wa message. Kuisoma meseji nikaona dada kamtumia ujumbe mume wake akilaumu mienendo mibovu anayooneshewa na ndugu wa mume wake hapo nyumbani

Dada alikuwa akilalamika kwa hisia sana na kumshauri mume wake wahame upesi eneo hilo kwani yeye anavumilia kuishi hapo kwasababu anampenda mume wake tu.

Nikaangalia kwenye inbox nikakuta meseji kama ile kaifoward kwa namba mbili tofauti, nilichokuja kubaini kuwa hizo namba ni za wanaume wake wa nje

Namba moja ilikuwa na conversation tata ikimuita aje gest akabutuliwe, namba nyingine ilikuwa na sexy chart za kawaida tu
Kwa uzembe uliotukuka haukufanya tukio
 
Kijana aliyemaliza chuo halafu yupo jirani yenu na wewe unashinda zako kwenye mihangaiko.

Kibaya zaidi wanaazimana CD na kijana anakuja kurekebisha king'amuzi kinapo leta shida.
Pole sana mkuu kwa yaliyokupata!
 
Watakua wamwchoka sana hao wanawake hadi mangi dukani khaaaaaaaaaa,
 
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.

-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom