financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawajatulia na ndoa zao, labda kama unawaangalia wakipita barabarani tu mkuu. Ndoa nyingi zina infidelity ya kwenda mbele...Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Wacha watugegedee tuu maana mwanamke kama unagegeda weye mwenyewe maana yake mwanamke wako sio mzuri, hana tako na ana sura personal. Tuache uchoyo jameni...de libilo na de mbususu tumepewa bure.Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umesahau mpiga picha(Cameraman)Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aah maybe ila wote nnaowaona wako happy na wanaheshimianaWatu hawajatulia na ndoa zao, labda kama unawaangalia wakipita barabarani tu mkuu. Ndoa nyingi zina infidelity ya kwenda mbele...
😁😁😬🙄😳😂😂Mkuu umewasusia kabisa.Wamle tu tena wa mkule sana hata hainitishi
ya nn kuchungana na limtu lenye akili timamu 😂😁😁😬🙄😳😂😂Mkuu umewasusia kabisa.
daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwingine ni yule kaka wanayetoka sehemu moja huko kijijini kwao sasa wamekutania mjini.
Kwani mnasemaga basiHapo hakuna hata mmoja...
miss Accountant umejuaje hayo ? Unaishi naoUhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Sasa huu ni uongo embu utushushe tumefikaJuzi kuna dada aliniomba nimsetie simu yake ilikuwa haiwashi data
Ilikuwa ni apn zili miss baada ya yeye kui reset simu
Sasa wakati ananipa alinipa ikiwa katika upande wa message. Kuisoma meseji nikaona dada kamtumia ujumbe mume wake akilaumu mienendo mibovu anayooneshewa na ndugu wa mume wake hapo nyumbani
Dada alikuwa akilalamika kwa hisia sana na kumshauri mume wake wahame upesi eneo hilo kwani yeye anavumilia kuishi hapo kwasababu anampenda mume wake tu.
Nikaangalia kwenye inbox nikakuta meseji kama ile kaifoward kwa namba mbili tofauti, nilichokuja kubaini kuwa hizo namba ni za wanaume wake wa nje
Namba moja ilikuwa na conversation tata ikimuita aje gest akabutuliwe, namba nyingine ilikuwa na sexy chart za kawaida tu
Mi nikimpenda mtu ndo unila hata sikuhiyohiyo...ila nimpendeKwani mnasemaga basi
Ushaumaliza mwendo si bure.Wamle tu tena wa mkule sana hata hainitishi