Juzi kuna dada aliniomba nimsetie simu yake ilikuwa haiwashi data
Ilikuwa ni apn zili miss baada ya yeye kui reset simu
Sasa wakati ananipa alinipa ikiwa katika upande wa message. Kuisoma meseji nikaona dada kamtumia ujumbe mume wake akilaumu mienendo mibovu anayooneshewa na ndugu wa mume wake hapo nyumbani
Dada alikuwa akilalamika kwa hisia sana na kumshauri mume wake wahame upesi eneo hilo kwani yeye anavumilia kuishi hapo kwasababu anampenda mume wake tu.
Nikaangalia kwenye inbox nikakuta meseji kama ile kaifoward kwa namba mbili tofauti, nilichokuja kubaini kuwa hizo namba ni za wanaume wake wa nje
Namba moja ilikuwa na conversation tata ikimuita aje gest akabutuliwe, namba nyingine ilikuwa na sexy chart za kawaida tu