Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Acha waliwe tu maana wao wanajisahau kutwa kuhangaika na michepuko, huku nyuma nawao wanaacha mlango wazi.
 
Nimekuuzia siri ya kambi usije kujifanya upo bize na majukumu.
Acha wasaidiwe busy na kazi kumbe katoka kuchepuka na mke akijua Ng'ombe simwelewi basi mambo yanakuwa hivyo
 
Mimi nakazia hapo kwa ex wake,baba mchungaji na Bosi wake.

Aisee mke wako alikumbana na hao watu watahi hatachomoka salama hata iweje.
Hapo ni mwanamke mwenyewe kama anatabia hiyo, na wakati mwingine ni wanaume wenyewe hisababisha mwanamke kuzibuka
 
Sijui moyo wangu ukoje, Ila masuala ya kuanza kuwaza sijui nani atamla demu au mke wangu kwa kweli hayani husu. Mtu anayobo ambalo baada tu ya kupigwa mashine linarudi hali ile ile uanze kumuwazia. Nikujipa stress zisizo za msingi. Aliwe anavyojua kikubwa awe msiri tu nisijue na mimi nawala huku pembeni kama kawaida. Ukiishi kuanza kuwaza sijui ataliwa na fulani mara imekua hivi nikujitafutia kufa mapema. We ombea tu anapokua anapigwa mashine asisahau kuvaa Condom au basi ahakikishe huyo anayemla yuko vizuri asije kuleta magonjwa ndani tukashindwa kulea watoto bure.
Mbususu ni Mali yake Mwanamke na Hogo ni langu sio lake. That is what it’s 🫱[emoji2533]‍🫲[emoji2534]🫱[emoji2533]‍🫲[emoji2534]

Ni rahisi kuongea ivo hapa ila ningumu kiuhalisia mkuu!
 
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.

-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Kama vile unavyoweza kuwala wafuatao bure:
-Beki 3
-Wauza Mboga
-Rafiki wa Gf/Mke
-Binamu
-Jirani
-Sekretari
-Ex
-Maids
 
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.

-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Kama wanawake wenyewe ndio hawa kama hakina chifu hangaya basi waliwe tu hata na mbwaa
 
Ni rahisi kuongea ivo hapa ila ningumu kiuhalisia mkuu!
Hapana mkuu, kama nikivyogusia hapo kuwa Kama akifanya kwa siri na nisijue mimi siwezi kuhangaika kumtafuta kwenye radar eti tu nijuE ni nani anamla. Hilo mimi la nani anamla kwa kweli sihitaji kujua kikubwa asiachekunipa mbususu niliyoitolea mahali na pia Heshima ndani iwepo
 
Kuna gym trainer..

Halaf kuna hawa walimu wa English medium wa mwanao. Waangalie sana wale madogo wanaowasiliana na mke et kuhusu maendeleo ya mtoto. Kuna jamaa yangu mmoja alienda kuliamsha shuleni et mwalimu wa darasa wa mwanaye anamuaharibia ndoa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe mtu umeoa dunga embe .
Usifosi watu wawe kama huyu malaya wako lifuska lisilojitambua eh!

Kwa mlivyooana hamkukulana ndio mkaoana ??
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Meaning hata wewe na hilo dudu washa lako
Hujaolewa heshma ya ndoa uliijulia wapi hadi uitwe mke wa mwenzio dudu washa?

Olewa kwanza ndo uijui ya ndoani.
 
Back
Top Bottom