sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Ngoja nianze kumuwinda.huyu wa kwangu hata wewe ukiamua unaweza kumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nianze kumuwinda.huyu wa kwangu hata wewe ukiamua unaweza kumla
Tupendane tu sasa, hamna namna!Mi nikimpenda mtu ndo unila hata sikuhiyohiyo...ila nimpende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekata mpaka tamaa kabisa, pole sanaHapo kwenye Ex ndio nawatafuna Sana na wangu wananitafunia
Acha waliwe tu maana wao wanajisahau kutwa kuhangaika na michepuko, huku nyuma nawao wanaacha mlango wazi.Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Acha uwongoUhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Acha wasaidiwe busy na kazi kumbe katoka kuchepuka na mke akijua Ng'ombe simwelewi basi mambo yanakuwa hivyoNimekuuzia siri ya kambi usije kujifanya upo bize na majukumu.
Hapo ni mwanamke mwenyewe kama anatabia hiyo, na wakati mwingine ni wanaume wenyewe hisababisha mwanamke kuzibukaMimi nakazia hapo kwa ex wake,baba mchungaji na Bosi wake.
Aisee mke wako alikumbana na hao watu watahi hatachomoka salama hata iweje.
Kwahiyo anapaki mtorori wake pembeni!????Umesahau na wauza maji mtaani
Waliolewa mabikra siyo!Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Sijui moyo wangu ukoje, Ila masuala ya kuanza kuwaza sijui nani atamla demu au mke wangu kwa kweli hayani husu. Mtu anayobo ambalo baada tu ya kupigwa mashine linarudi hali ile ile uanze kumuwazia. Nikujipa stress zisizo za msingi. Aliwe anavyojua kikubwa awe msiri tu nisijue na mimi nawala huku pembeni kama kawaida. Ukiishi kuanza kuwaza sijui ataliwa na fulani mara imekua hivi nikujitafutia kufa mapema. We ombea tu anapokua anapigwa mashine asisahau kuvaa Condom au basi ahakikishe huyo anayemla yuko vizuri asije kuleta magonjwa ndani tukashindwa kulea watoto bure.
Mbususu ni Mali yake Mwanamke na Hogo ni langu sio lake. That is what it’s 🫱[emoji2533]🫲[emoji2534]🫱[emoji2533]🫲[emoji2534]
huyu wa kwangu hata wewe ukiamua unaweza kumla
Kama vile unavyoweza kuwala wafuatao bure:Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Unajifariji kuwa mkeo Ni very Innocent??Mke wako ni malaya?
Kama wanawake wenyewe ndio hawa kama hakina chifu hangaya basi waliwe tu hata na mbwaaWakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa.
-Ex Wake
-Baba Mchungaji
-Bosi Wake
-Rafiki Yake Wa Kiume
-Baba Mwenye Nyumba
-Dokta mtoa mimba
-Muuza Chipsi
-Bodaboda
-Mangi dukani(akimkazia)
-Wasafisha kucha na miguu
-Wasuka rasta wale wakiume
-chief admin wa group [emoji4]
-Muuza genge
Hapana mkuu, kama nikivyogusia hapo kuwa Kama akifanya kwa siri na nisijue mimi siwezi kuhangaika kumtafuta kwenye radar eti tu nijuE ni nani anamla. Hilo mimi la nani anamla kwa kweli sihitaji kujua kikubwa asiachekunipa mbususu niliyoitolea mahali na pia Heshima ndani iwepoNi rahisi kuongea ivo hapa ila ningumu kiuhalisia mkuu!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna gym trainer..
Halaf kuna hawa walimu wa English medium wa mwanao. Waangalie sana wale madogo wanaowasiliana na mke et kuhusu maendeleo ya mtoto. Kuna jamaa yangu mmoja alienda kuliamsha shuleni et mwalimu wa darasa wa mwanaye anamuaharibia ndoa
Watu wamejawa na negativity juu ya ndoa, imefikia kipindi wanataka ku normalize hii characterAah maybe ila wote nnaowaona wako happy na wanaheshimiana
Muuh kuna mapenzi hapo kweli?!We ni kama mimi aisee. Mtu mbususu ni yake. Yaani kwa akili zake kamili na bila kuvunja katiba ya Jamhuri ameamua kwenda kuigawa huko eti mimi ndo nihangaike sijui kupigana mpaka hata kuuliwa. Hell no!
Hujaolewa heshma ya ndoa uliijulia wapi hadi uitwe mke wa mwenzio dudu washa?Wewe mtu umeoa dunga embe .
Usifosi watu wawe kama huyu malaya wako lifuska lisilojitambua eh!
Kwa mlivyooana hamkukulana ndio mkaoana ??
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Meaning hata wewe na hilo dudu washa lako
Wee mbona hujaolewa sasaUhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.