Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

Uhuni ni tabia ya mtu tu , kuna wanaojiheshimu na kuheshimu ndoa zao hawawezi kuchepuka. Mbona huku mitaani mwetu wengi tu wametulia na ndoa zao.
Acha waliwe tu maana wao wanajisahau kutwa kuhangaika na michepuko, huku nyuma nawao wanaacha mlango wazi.
 
Nimekuuzia siri ya kambi usije kujifanya upo bize na majukumu.
Acha wasaidiwe busy na kazi kumbe katoka kuchepuka na mke akijua Ng'ombe simwelewi basi mambo yanakuwa hivyo
 
Mimi nakazia hapo kwa ex wake,baba mchungaji na Bosi wake.

Aisee mke wako alikumbana na hao watu watahi hatachomoka salama hata iweje.
Hapo ni mwanamke mwenyewe kama anatabia hiyo, na wakati mwingine ni wanaume wenyewe hisababisha mwanamke kuzibuka
 

Ni rahisi kuongea ivo hapa ila ningumu kiuhalisia mkuu!
 
Kama vile unavyoweza kuwala wafuatao bure:
-Beki 3
-Wauza Mboga
-Rafiki wa Gf/Mke
-Binamu
-Jirani
-Sekretari
-Ex
-Maids
 
Kama wanawake wenyewe ndio hawa kama hakina chifu hangaya basi waliwe tu hata na mbwaa
 
Ni rahisi kuongea ivo hapa ila ningumu kiuhalisia mkuu!
Hapana mkuu, kama nikivyogusia hapo kuwa Kama akifanya kwa siri na nisijue mimi siwezi kuhangaika kumtafuta kwenye radar eti tu nijuE ni nani anamla. Hilo mimi la nani anamla kwa kweli sihitaji kujua kikubwa asiachekunipa mbususu niliyoitolea mahali na pia Heshima ndani iwepo
 
Kuna gym trainer..

Halaf kuna hawa walimu wa English medium wa mwanao. Waangalie sana wale madogo wanaowasiliana na mke et kuhusu maendeleo ya mtoto. Kuna jamaa yangu mmoja alienda kuliamsha shuleni et mwalimu wa darasa wa mwanaye anamuaharibia ndoa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe mtu umeoa dunga embe .
Usifosi watu wawe kama huyu malaya wako lifuska lisilojitambua eh!

Kwa mlivyooana hamkukulana ndio mkaoana ??
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Meaning hata wewe na hilo dudu washa lako
Hujaolewa heshma ya ndoa uliijulia wapi hadi uitwe mke wa mwenzio dudu washa?

Olewa kwanza ndo uijui ya ndoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…