Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?

Lipi kosa la waumini, kiasi wakatazwe kuabudu pale?
 
Acha umbumbumbu wewe, Kasome vizuri katiba, kila mtu ana uhuru wa kuabudu atakavyo yeye, sio aige kama unavyoabudu wewe
 
Mimi huwa naona ni kama kihehere cha hawa jamaa mbona mikoani hatusikii na huduma zinaendelea tu bila kusikia mikoani wakizuiliwa.
 
Ni ubabe tu wa mamlaka,hao waumini hawana makosa kabisa.
Kwa sababu ufufuo na uzima sio mali ya gwajima wao wangedili na gwajima na sio kuwanyima wengine Haki ya kuabudu.
 
Matendo wanayotufanyia watawala wa kiafrika hata wakoloni hawakufanya hivi,watu waliabudu kwa amani kabisa bila mabomu.
 
serikali ndo msajili wa makanisa, wakisema sitisha shuhuli kwann unakua mkaidi?

..ninavyoelewa shauri lilikwenda MAHAKAMANI na serikali ikasema barua ya kusitisha shughuli za Kanisa la Ufufuo ni batili.
 
Write your reply...mbona kanisa la kiboko ya wachawi lilifutwa na askofu wao kukimbilia kongo akiambatana na mwarabu faita lkn hakuna kelele za wanasiasa
 
Wangekua ni, makobazi, kuna mtu angeshenyentwa?? Bomu
 
Siku ya mwisho kutia mguu wako kanisani ilikuwa lini mkuu

Na kwa nini unarahisisha kihivo mkuu

Unaelewa nini maana ya Imani na mafundisho yake
 
Siku ya mwisho kutia mguu wako kanisani ilikuwa lini mkuu

Na kwa nini unarahisisha kihivo mkuu

Unaelewa nini maana ya Imani na mafundisho yake
sasa mada ni serikali kuongoza madhehebu sio tena kuuliza imani, but since umeuliza there are 2 things kuhusu iman haswa katika upande wa dini
1) its either binadam hatujui ukwel wa dini na content zilizopo za dini zna maelezo tafauti na tunavotakiwa kuelewa
2) Kama dini iliopo ndo halisi basi tunapigwa na binadam ni kiumbe dhaifu sana
 
..ninavyoelewa shauri lilikwenda MAHAKAMANI na serikali ikasema barua ya kusitisha shughuli za Kanisa la Ufufuo ni batili.
msilazimishe ili jambo liwe la kisiasa au kidini,
 
..kwanini nguvu kubwa inatumika kuwatetea WATEKAJI?

..chanzo cha yote haya ni genge la watekaji kusemwa na Mchungaji Gwajima.
issue ilikua simple kanisa lako tumelisitisha, mengine aliyataka mwenyewe na waumini wake
 
Ni mtazamo tu mkuu
 
Inaonekana huijui katiba au haujalifatilia hili suala vizuri mkuu. Haki ya kuabudu ni huru, hivyo mtu anaabudu vile anavyoona yeye inafaa na anaabudu kile anachokiamini. Kwaio kama wenyew wameamua kuamini katika kufanya ibada wakiwa katika eneo fulani hiyo ni haki yao kikatiba mkuu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…