Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Concept yako nimeielewa mkuu! Lakini kwanini uishi?Simaanishi kiongozi awe Rais ama namna gani, uongozi upo kwa namna nyingi. Waweza kuwa ndiye mwenye kutoa maelekezo au kutatua changamoto fulani ukawapa wengine suluhu wakaifanyie kazi(nimekosa neno sahihi zaidi la kiswahili kuliweka hapa)
nitakurahisishia:Mkuu nyabhingi kwanini posts zako nyingi hua zinamu-attack Yesu Kristo tu lakini sio Siddhartha Gautama au Muhammad bin Abdallah
Kwahiyo target yenu Yesu? Why Yesu??nitakurahisishia:
dr dre,eminem na 50 cent
50 cent anawategemea dre na eminem kupata hela
eminem anamtegemea dre kupata hela lakini hamtemei 50
dre hamtegemie eminem wala 50 kupata hela
ukitaka kumuua njaa 50,mdondoshe dr dre
dre ni yehova,eminem ni yesu na 50 ni mohamed ibn abdullah
natumai umenielewa
kwa sababu yesu ni fictional character that never existedKwahiyo target yenu Yesu? Why Yesu??
Ukweli ni ithibati isiyoacha shaka kwa kaliba fulani ya watu ama jamii...
nitathibitisha vipi uwepo wa kitu ambacho hakijawahi kuwepoi?Unaweza thibitisha kua Yesu ni fictional character? ?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
siwezi kuthibitisha uwepo wa kitu ambacho hakijawahi kuwepoSasa kwanini unasema ni kitu ambacho hakijawahi kuwepo hafu unashindwa kuthibitisha kutokuwepo kwake??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mtume muhamadi je aliwahi kuwepo?siwezi kuthibitisha uwepo wa kitu ambacho hakijawahi kuwepo
kuna stori kuwa baharini kuna samakimtu na baadhi ya watu wanaamini hivyo
ukweli ni kwamba ni hadithi ya kutunga tu,sawa na stori ya yesu
i know what you are thinkingMtume muhamadi je aliwahi kuwepo?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk