Watu wanasema mimi ni nani? Swali alilouliza Yesu linalofungua ubongo wa mwanadamu kujitambua

Ni wapi Yesu Kristo amesema ''Mimi Si Mungu"?

Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. 16Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru. Huyo alikuwa Msamaria. 17Hapo Yesu akasema, "Je, si watu kumi walitakaswa? Wale tisa wako wapi? 18Hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?" 19Halafu akamwambia huyo mtu, "Simama, uende zako; imani yako imekuponya."

Kwanini Yesu hakumkemea huyu Msamaria kuwa asimsujudie kwa kuwa Yeye si Mungu?
Luka 17:15-19

Na tena Mungu ana pomleta mwanae, mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, anasema: “Malaika wote wa Mungu wamwabudu yeye.”
Waebrania 1:6

Faizafoxy, ebu tuambie, ni nani anayepashwa kuabudiwa?
Hapo juu ktk Luka 17:15-19 huyu Msamaria aliyeponywa ukoma alirudi kumshukuru nani?
Wewe hata unachikosoma hukielewi. Aliyetukuzwa hapo ni Mungu siyo Yesu.
 
Ni wapi Yesu Kristo amesema ''Mimi Si Mungu"?

Mie nimekuuliza swali, badala ya wewe kujibu swali langu na wewe unauliza swali? Una maana hauna jibu?

Toa jibu la swali langu nililokuuliza kwanza kama hauna jibu sema tu shuna jibu, halafu uliza swali lako. Usiwe poyoyo.
 
Hongereni
Namshukuru Mungu leo nimetoa mzigo mzito uliokuwepo kichwani toka mwezi wa 2 nilikua nafikiria kuandika hiki kitu japo nimeandika kwa uchache kulinganisha na kile nachofahamu.
Natamani vijana wenzangu wote wapate elimu ya kujitambua ila hawapendi kusoma.
Natamani ningekua nakipaji cha kuzungumza vizuri .

Bro nahitaji contacts zako
 
Yeah, Yesu alikua na maswali mahususi, lingine aliuliza UKWELI NI KITU GANI mpaka leo halina jibu

“ ukweli ni kitu gani” ukisoma injili ya Yohana Yesu alijiandaa kulijibu ila alikatizwa maana jibu lake ni “ ukweli ni Kristo” kwa jibu hili huenda hukumu ya Yesu ingebatilishwa so ni mpango wa Mungu jibu hili halikujibiwa wakati ule
 
Ukiniona mimi umemwona baba na ukimwona baba umeniona Mimi kwa kuwa Mimi ni ndani Yake na Yeye you ndani yangu
Hahaha. Hapo ndiyo Yesu alayhi salaam anasema "mimi Mungu"?

Ikiwa kwa usemi huo Yesu alayhi salaam mmemfanya "Mungu" basi wanafunzi wake wote ni Miungu kwani pia anasema "Mimi ni ndani Yenu".

Hiyo uliponukuu wewe ni Yohana 14:11, nenda chini kidogo mpaka Yohana 14:20 ujionee kuwa mna miungu kibao.

Unasikitisha sana.
 
Wewe hata unachikosoma hukielewi. Aliyetukuzwa hapo ni Mungu siyo Yesu.
Akili yako ishakuwa progammed tangu utotoni kupinga kile unachoona kipo tofauti na imani yako.
Andiko liko wazi kuwa yule Msamaria alirudi kumshukuru Mungu.
 
Sasa wewe huoni au ukisoma huelewi? Huoni anaetukuzwa ni Mungu hapo na anaeshukuriwa ni Yesu?

Waislam mbona hilo halitupi shida. Kila silu tunamtukuza Mungu "Allahu Akbar" na kila siku tunamshukuru mtu anaetufanyia mema.

Hivi mkisoma huwa hamuelewi au ndiyo u "ignorant" tu umewajaa?
 
Ndugu, hivi unadhani Bible huwa inasomwa kama hadithi za Essopo au vitabu vya Robinson Crussoe?
Hata kilichoandikwa ktk Luka 17:11-19 hakika hata ukijuhi! Hata ukoma ulioandikwa hapa yawezekana si ukoma kama unavyofikiria. kwa ufupi ukoma unaoongelewa hapa ni metaphor ya kitu kingine. Nikipata muda utapewa darsa kuhusu Luka 17 japo najua akili yako imeshafungwa.
 
Rudi kwenye mistari tunayoizungumzia halafu useme kuna "metaphor" ipi hapo

Hivyo ndivyo mnavyodanganywa, Mungu atake nini kwako hata akuandikie kwa "metaphor"? Huoni kuwa kuwa na fikra kama hizo ni ujuha?

Ikiwa biblia hata matusi kama neno "wafiraji" limeandikwa hivyo hivyo bila tafsida wala aibu wala staha lakini linapokuja suala la Mtume na Mungu ndiyo kuwe na "metaphor"? Duh!
 
“ ukweli ni kitu gani” ukisoma injili ya Yohana Yesu alijiandaa kulijibu ila alikatizwa maana jibu lake ni “ ukweli ni Kristo” kwa jibu hili huenda hukumu ya Yesu ingebatilishwa so ni mpango wa Mungu jibu hili halikujibiwa wakati ule
Sawa sawa!
 
Rudi kwenye mistari tunayoizungumzia halafu useme kuna "metaphor" ipi hapo

Hivyo ndivyo mnavyodanganywa, Mungu atake nini kwako hata akuandikie kwa "metaphor"? Huoni kuwa kuwa na fikra kama hizo ni ujuha?

Ikiwa biblia hata matusi kama neno "wafiraji" limeandikwa hivyo hivyo bila tafsida wala aibu wala staha lakini linapokuja suala la Mtume na Mungu ndiyo kuwe na "metaphor"? Duh!
Kujua kile unachojua na usichokijua, that is true knowledge.
Endelea kubaki na ujinga wako kwa yale usiyoyajua!
 
Back
Top Bottom