Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa.

Wewe unasemaje katika hili.

Reference:
Mshahara wa darasa la saba
Mshahara wa form four
Mshahara wa certificate
Mshahara wa diploma
Mshahara wa degree
Mshahara wa masters
Mshahara wa PhD.
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
 
Don't make Excuse, Maisha yana misingi yake.

Ukiwa kwenye Aspect yeyote ile kamaunaweza perform well fanya u-perform well, Kama huna uwezo basi jitahidi u-perform well....Matokeo mengine mipango ya Mungu tu ila malazote asilimia za uwezekano wa kupata zinacheza kwa aliyejutahidi zaidi.
 
Kweli kabisa! Hii ndiyo hupelekea watu kufanyiwa assignment na research kwa sababu mtu siyo kwamba anatafuta maarifa la hasha! Bali apate cheti apande cheo na mshahara.

Kumbe Elimu haswaa ni zaidi ya cheo na mshahara, Mimi nadhani mshahara wa mtu lazima upimwe kwa kuangalia mchango wa mtu katika kazi husika.
 
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
Hizi degree za polytechnic ni sawa na professional degree zinazotambuliwa na body kama engineer, doctor, walimu, social workers etc.
 
Naweza nikawa nimekosea kutumia ilo neno Ila ishu ni kuwa amepita mfumo wa veta ambako 60% ni practical na 40% ni theory
 
Haufanikiwi kwa kukimbia sana ila unafanikiwa kwa kujua mahala pa kukimbilia.. ukitaka ufafanuzi wa hii nitafute ntakuja kuifafanua walioelewa heshima nyingi kwenu nasisitiza nawaheshimu sana
 
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia

Unazungumzia Beng na Bsc in engineering.
 
Katafute cheti cha samata cha diamond cha alikiba then tafuta na cheti chako viweke pamoja..
Sijui kwanini bado hata hao wakipata hela wanafanya kila juhudi kuwatafutia watoto wao vyeti kamuulize Shilole, na wenzake.
 
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
[emoji23][emoji23][emoji23] hata kuseti mashine ya survey hujui laahaulaa mimi wakati namaliza form 4 nikatamani kwenda DIT nikajua nikitoka ale ntakua mtekinologi wa kiwango cha juu niliyoyakuta ni tofauti
 
Watu wenye elimu wako underpaid hapa bongolala, huwezi kumlipa mtu mwenye PhD mshahara kiduchu ambao haufiki hata mil.5...........labda kwa zile PhD za UDOM za kina jafo, biteko, msukuma et al.......
 
inakua inasikitisha sana pale unapomuona Muuza chips au Changudoa walioishia la saba wapo vizuri kimaisha na wanakula bata kuliko wewe na ki degree au kimaster chako.

Wivu ndio huanzia hapo
 
Back
Top Bottom