Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

[emoji23][emoji23][emoji23] hata kuseti mashine ya survey hujui laahaulaa mimi wakati namaliza form 4 nikatamani kwenda DIT nikajua nikitoka ale ntakua mtekinologi wa kiwango cha juu niliyoyakuta ni tofauti
Sure mkuu. Sema Ile kukaa saiti kidogo unaseti na unachukua reading Mara baadaye unacheki back reading sijui bm yaani ni vurugu tupu
 
Hayo mavyeti naona mara nyingi yapo applicable Serikalini, ila kwenye private sector mara nyingi wanaangalia unachoweza kufanya na ufanisi wake.
 
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
wtf😲😲😲
 
Hivi wakuu mshahara kwa ngazi ya cheti na Diploma kwa ngazi ya halmashauri ukoje? Msaada wataalam na wajuvi
 
Back
Top Bottom