Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa.
Wewe unasemaje katika hili.
Reference:
Mshahara wa darasa la saba
Mshahara wa form four
Mshahara wa certificate
Mshahara wa diploma
Mshahara wa degree
Mshahara wa masters
Mshahara wa PhD.
Hizi degree za polytechnic ni sawa na professional degree zinazotambuliwa na body kama engineer, doctor, walimu, social workers etc.Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
Naweza nikawa nimekosea kutumia ilo neno Ila ishu ni kuwa amepita mfumo wa veta ambako 60% ni practical na 40% ni theoryHizi degree za polytechnic ni sawa na professional degree zinazotambuliwa na body kama engineer, doctor, walimu, social workers etc.
Hizi professional nilizozitaja zinapatikana kwa mfumo huo, ukifeli practical hata kama umepass theory unamwaga manyanga chiniNaweza nikawa nimekosea kutumia ilo neno Ila ishu ni kuwa amepita mfumo wa veta ambako 60% ni practical na 40% ni theory
Unapoteza muda hapa ni Tanzania bila vyeti utabaki kulalamikaHaufanikiwi kwa kukimbia sana ila unafanikiwa kwa kujua mahala pa kukimbilia.. ukitaka ufafanuzi wa hii nitafute ntakuja kuifafanua walioelewa heshima nyingi kwenu nasisitiza nawaheshimu sana
Professor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
Unapoteza muda hapa ni Tanzania bila vyeti utabaki kulalamika
Sijui kwanini bado hata hao wakipata hela wanafanya kila juhudi kuwatafutia watoto wao vyeti kamuulize Shilole, na wenzake.Katafute cheti cha samata cha diamond cha alikiba then tafuta na cheti chako viweke pamoja..
[emoji23][emoji23][emoji23] hata kuseti mashine ya survey hujui laahaulaa mimi wakati namaliza form 4 nikatamani kwenda DIT nikajua nikitoka ale ntakua mtekinologi wa kiwango cha juu niliyoyakuta ni tofautiProfessor umemmsahau Ila warusi Wana cheo kingine Cha kisomi ambacho ni zaidi ya profesa.
Pia Kuna bachelor ya kutokea veta na ya kutokea akademia like udsm ambazo ni theory oriented.
Kwa China bachelor ya veta ama polytechnical college ina thamani kubwa mno huyu wa theory akasome kwanza.
Mana mie nimemaliza civil hata mashine ya survey sijui kuiseti na kuitumia
Sijui kwanini bado hata hao wakipata hela wanafanya kila juhudi kuwatafutia watoto wao vyeti kamuulize Shilole, na wenzake.
Sijui kwanini bado hata hao wakipata hela wanafanya kila juhudi kuwatafutia watoto wao vyeti kamuulize Shilole, na wenzake.