Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

[emoji23][emoji23][emoji23] hata kuseti mashine ya survey hujui laahaulaa mimi wakati namaliza form 4 nikatamani kwenda DIT nikajua nikitoka ale ntakua mtekinologi wa kiwango cha juu niliyoyakuta ni tofauti
Sure mkuu. Sema Ile kukaa saiti kidogo unaseti na unachukua reading Mara baadaye unacheki back reading sijui bm yaani ni vurugu tupu
 
Hayo mavyeti naona mara nyingi yapo applicable Serikalini, ila kwenye private sector mara nyingi wanaangalia unachoweza kufanya na ufanisi wake.
 
wtf😲😲😲
 
Hivi wakuu mshahara kwa ngazi ya cheti na Diploma kwa ngazi ya halmashauri ukoje? Msaada wataalam na wajuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…