The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Watu wafupi hua wabishi kutokana na kuhisi wanadharauliwa, pia hua vinakua na mbembwe na vituko. (Japo sio wote)
Watu wembamba hua wanakua na anger issues, wana hasira yma karibu. (Japo sio wote) Ulishakamatwa na traffic kimbau mbau. Au ulishakua na kesi na kamwalimu ka hesabu kembamba ?
Watu wanene hua wanakua , wanakosa common sence wanakua wajinga wajinga hivi hua na maamuzi ya ajabu ajabu wanaendeshwa na hisia sana.(japo sio wote) unakumbuka shule mitoto mibonge utakuta linalia kisa limetaniwa kidogo tu.