The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
ha haa haomba ulinzi kutoka North Korea
Wanakuja huko š„
na si ndio hivyo nimemanisha utakuta kitu kidogo linalia, wanaendeshwa na hisia wanaume kwa wanawakeWanene wengi hawashikilii mambo! Labda hao wa kiume wanaoendeshwa na hisia!
Si ndio ya hivi? šna si ndio hivyo nimemanisha utakuta kitu kidogo linalia, wanaendeshwa na hisia wanaume kwa wanawake
Kitambo nilishakua na mpenzi bonge aise lile lidada mpaka raha hata ulikosee vipi ukilibembeleza kidogo tu linatulia na game linatoa kwa roho nyeupeee hakuna kununiwa hakuna kuulizwa maswali hakuna kuhojiwa na kuambiwa mara ya mwisho sasa njo kwa hawa "TAMISEMI" we jambo dogo itakua ligi wiki nzima.Wanene wengi hawashikilii mambo! Labda hao wa kiume wanaoendeshwa na hisia!
haa ha ha si unaona. Check kama hili hapa mabonge bhana tehee he he.Si ndio ya hivi? š View attachment 3607254
Hahhaha mmewakalia kooni hawa ajira mpya loh! Ni kweli ata mimi marafiki zangu mibonge huwa haina shida kabisa, hawnaa gubu kabisa!Kitambo nilishakua na mpenzi bonge aise lile lidada mpaka raha hata ulikosee vipi ukilibembeleza kidogo tu linatulia na game linatoa kwa roho nyeupeee hakuna kununiwa hakuna kuulizwa maswali hakuna kuhojiwa na kuambiwa mara ya mwisho sasa njo kwa hawa "TAMISEMI" we jambo dogo itakua ligi wiki nzima.
Nilikuwa nataka nipate uhakika kama ndio size kubwa hii XXXL au chini ya hapo!haa ha ha si unaona. Check kama hili hapa mabonge bhana tehee he he.
Asante kwa kusindikiza uzi kwa kapicha.
yani hata kutongoza mabonge hua simple sana. Kwanza hua hawakatai kama ukiwa una hulka nzuri na kuongea kwa staha, ukilikoleza kidogo tu limo.Hahhaha mmewakalia kooni hawa ajira mpya loh! Ni kweli ata mimi marafiki zangu mibonge huwa haina shida kabisa, hawnaa gubu kabisa!
Dah kuna mwanangu alijichanganya kutongoza bhuju moja hatorudia! Kakutana nalo stand tu tayari likageuka mkeš«¢yani hata kutongoza mabonge hua simple sana. Kwanza hua hawakatai kama ukiwa una hulka nzuri na kuongea kwa staha, ukilikoleza kidogo tu limo.
Seran ukipiga tizi utakuwa bonge moja la pisi.mshamba_hachekwi unafurahia tu mabonge menzio tunayachambua hapaš
Mi sio bonge unajua eeh?Seran ukipiga tizi utakuwa bonge moja la pisi.
Aah wapi. Kula tizi mwanangu utokelezee.Mi sio bonge unajua eeh?
Nitokelezee wapi?š¤£Aah wapi. Kula tizi mwanangu utokelezee.
Upendeze nguo zikae vizuri.Nitokelezee wapi?š¤£
Mi sio Bonge basi tu chuma chakavu!
Nipendeze ili iweje?Upendeze nguo zikae vizuri.
Kijana machachari kabisa unajiita mchakavu! Hizi dhambi mnajitakia.
Usirudie tena.