BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia.
CCM na katiba leo hii ndio imetufikisha hapa.
Tumeshindwa kudai katiba basi hata hili la bandari tutulie kimya, maana bado nguvu wanayo ya kufanya lolote.
Nyie mnaoshupaza mishipa ya shingo kudai bandari wakati jambo kubwa la katiba limewashinda.