Watu wangu wa Azam nawaaaminia!

Leo tunawatimba, tumeshaweka mambo sawa.
 
Simba SC akiwa na jambo lake hakuna wa kumzuia.. Tukutane Taifa.
 
Pale mnapojipa moyo baada ya kufurushwa makundi ya mabingwa cku si nnyingi na huko Conf mtafurushwa.
 
Pale mnapojipa moyo baada ya kufurushwa makundi ya mabingwa cku si nnyingi na huko Conf mtafurushwa.
Basi tutakuwa pamoja hapa home...hakuna mahali munaenda!!! Mtoke muende wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…