FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
- Thread starter
- #41
Oyoooooo.... niliwaaaambiajeeee wakuuuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndo nimeaminiUnazungumzia hii Azam tawi la Simba?
Yeah Kweli kabisaaSimba ikicheza Tanzania nzima mpka caf wanakuwa na furaha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Simba B(Azam) anafungwa 3-1 leo
Wanyama wametulia leooooo. Sioni majibu ya ovyoooo
Mwisho umepigwa mwenyewe. HahaaaAzam atapigwa kama kigoma cha daku leo
Sasa wamejua Azam sio Agosto....
Hey boo!!! 😍Pale mnapojipa moyo baada ya kufurushwa makundi ya mabingwa cku si nnyingi na huko Conf mtafurushwa.
Sawa ndiyo mchezo