Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huyu jamaa ni hatari sana kwenye kujenga hamasa ya timu! Simba wanatakiwa kuwa makini sana ili kuepukana na kipigo.Kocha wa boluView attachment 2399054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni hatari sana kwenye kujenga hamasa ya timu! Simba wanatakiwa kuwa makini sana ili kuepukana na kipigo.Kocha wa boluView attachment 2399054
Jamaa ni strong man haswaHuyu jamaa ni hatari sana kwenye kujenga hamasa ya timu! Simba wanatakiwa kuwa makini sana ili kuepukana na kipigo.
Unaota we mdadaAzam atapigwa kama kigoma cha daku leo
Bimkubwa una maneno siku hizi !!!Unaota mume wangu
Alikukita kisawasawa,maana aisifuye mvua imemnyesheaJamaa ni strong man haswa,aliniweka mtarimbo hadi nikatoa mbolea
Bwana angu una maneno siku hizi !!!
Bwana wako ni yule unayemsifia alikukunja hadi ukatoa mbolea. Ndiyo umeijua leo hiyo edit ya ki kindergarten.Boss mbona mm sio bwana ako?
Thibitisha uo ujingaAzam furaha yake Simba ishinde kwasababu ni Simba lialia.utajua hujui.
Mmeshindwa nyie hadi mkafurahia droo wataweza hao?Bila mbambamba most, hiyo mada ishajieleza! Leo Azam nifanyieni kitu special, ile kitu hizi jamaa zitafanyiwa huko kwenye makundi.
Nitoleeni stress ya kutokuoga wiki ya tatu sasa, bundle kupandishwa bei kihuni na umeme kuzingua.
Jamaa ni strong man haswa
Baada ya dakika 90 niko hapa na mrejesho....ila mnalala chaliMmeshindwa nyie hadi mkafurahia droo wataweza hao?
Ndo anavyoniita strong man bajanaDuh, wewe ni me au ke?
Usikalili sister akeAzam huwa hana nongwa na mnyama, atalishwa 3 bila majibu, ice cream lazima zilambwe.
'Usikalili'? Mkuu...ndo msamiati upi huu?Usikalili sister ake
Acha ujinga wewe kahabaUsikalili sister ake