Watu wangu wa Azam nawaaaminia!

Watu wangu wa Azam nawaaaminia!

Azam furaha yake Simba ishinde kwasababu ni Simba lialia.utajua hujui.
 
Bila mbambamba most, hiyo mada ishajieleza! Leo Azam nifanyieni kitu special, ile kitu hizi jamaa zitafanyiwa huko kwenye makundi.

Nitoleeni stress ya kutokuoga wiki ya tatu sasa, bundle kupandishwa bei kihuni na umeme kuzingua.
Mmeshindwa nyie hadi mkafurahia droo wataweza hao?
 
Azam huwa hana nongwa na mnyama, atalishwa 3 bila majibu, ice cream lazima zilambwe.
 
Back
Top Bottom