Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili CHADEMA hadi ikaomba poo ni Makonda, Nchimbi, Happi na Sabaya

Makonda kateuliwa hapo kupata sympathy ya wafuasi wa Magufuli
 
We Pimbi,watu wanalia hali mbaya ya Uchumi,Nyie mko busy kupambana na CDM
 
Mimi sielewi, hivi lile tamko la kudhurumu uhai wa watu lililotolewa na Marekani lilifutwa lini? kama bado lipo, ccm watalikabili vipi kimataifa maana wamarekani walisha sema huyu Makonda ni dhulumati wa maisha ya watu.
Marekani hii inayolazimisha mpakuane vinyesi?,au?
 
Kati ya hawa hakuna mwenye akili, hawa ni watu ambao wamekuwa wakitumia vyombo vya dola kwa matumizi mabaya.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hivo vyuma ni scraper tu, hawana uwe. Chadema ni imara
 

Mkuu labda kwa kutumia mtutu wa bunduki/dola wanaweza, ila kama ni kwa kupangua na kupanga hoja one on one unatulisha matango pori!
 
Kwani chadema ndo anatawala nchi?

Yaani mnashindwa fanya mambo ya maana wakati mmetawala toka 1961 kisha mnaona kuwa chadema ndo adui yenu.

Fanyeni kazi zenu kwa ufasaha.

Ila maccm wote mkufwe
 
Kwa hiyo unataka kusema kwa sasa CCM imeishiwa watu wa maana na wenye akili kubwa mpaka kwenda kuokota hayo magarasa ili kuweza kuikabili CHADEMA?
Chama kiko hoi unaweza sikia abdul kawa mwenyekiti NEC,mama akili ndogo yule
 
hao wote ni wasiojulikana wanalinda interest zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…