Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala.

======
CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama mahindi yanatoka shambani ili mkajaze mikutano yenu, mnaua Raia wasiokuwa na hatia kwa uchu wa Madaraka, tarehe 29 ndio mwisho wa uhuni wenu.

Polisi Mambo muhimu kama haya mnayafumbia macho mnanajisi taaluma zenu kwa kulinda Madaraka ya watu.
 
Hata mhaini Lissu anapelekwa ndinga kali kabisa. Kupanga ni kuchagua.
 
That Woman is REJECTED. Hii halina ubishi na akizidi kulazimisha Taifa analiingiza kwenye machafuko.

Mzazibari mwanamke mmoja aliyekataliwa hawezi kuiingiza Tanganyika katika matatizo.

Kashakataliwa huyu mtu, CCM mbona mnalazimisha???

CCM tafuteni mgombea mwingine , wananchi wapo tayari kuwachagua BUT NOT THAT WOMAN please.
 
Nilikuta shangazi zangu wanasema wanaenda kupanda maroli kwenda Kwa kampeni niliwaonya sana na kuwaambia.
Shangazi zangu kama issues ni 10k na wapeni lakini mkienda Kwa kupanda maroli vile mnatuaibisha sana Watoto wenu na wakwilima wenu!

Tena Mimi sitaona thamani yenu yoyote hapa wote.

Hawa kwenda na hata wale walipanga kwenda nao mpango ulifeli.

Tukitoa elimu hakuna mtu atapanda roli
 
Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala.

======
CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama mahindi yanatoka shambani ili mkajaze mikutano yenu, mnaua Raia wasiokuwa na hatia kwa uchu wa Madaraka, tarehe 29 ndio mwisho wa uhuni wenu.

Polisi Mambo muhimu kama haya mnayafumbia macho mnanajisi taaluma zenu kwa kulinda Madaraka ya watu.
Hivi hadi miaka hii ya utandawazi bado kuna watu wajinga kiasi hiki, zamani tulikuwa tunadaganywa watanzania wengi ni watu wenye akili lakini ninavyozidi kukua naona ni kinyume chake
 
Yote haya yasingetokea bila hizi kampeni zao uchwara wakati tunajua kabisa hakuna ushindani mwaka huu
 
Back
Top Bottom