Hata mhaini Lissu anapelekwa ndinga kali kabisa. Kupanga ni kuchagua.Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala.
======
CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama mahindi yanatoka shambani ili mkajaze mikutano yenu, mnaua Raia wasiokuwa na hatia kwa uchu wa Madaraka, tarehe 29 ndio mwisho wa uhuni wenu.
Polisi Mambo muhimu kama haya mnayafumbia macho mnanajisi taaluma zenu kwa kulinda Madaraka ya watu.
Hilo ndilo la msingi.Umesema trekta lipo salama?
Shindii nakuona tuHilo ndilo la msingi.
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈShindii nakuona tu
Hivi hadi miaka hii ya utandawazi bado kuna watu wajinga kiasi hiki, zamani tulikuwa tunadaganywa watanzania wengi ni watu wenye akili lakini ninavyozidi kukua naona ni kinyume chakeIvi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala.