Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Mi nilijua Petit ni kale ka mbwa kake, kumbe ni mtu? Mwenye picha ake anipatie please na mm nimjue petit

Screenshot_2014-12-07-21-43-05.png
Huyo wa mbele ndo petit ana mke ila anashinda nyuma ya wema kama mkia wake wema mwenyewe anawaita "my boys"
hii mijanaume sijui fyatu
 
Word! Wema unaweza kukuta amepanga haya yote ili kuuza zaidi kipindi chake! Hii imekaa kibiashara zaidi japo kwa ninavyo muona Wema hashindwi kupiga mtu kabisa maana hakubali kushindwa na nimjuaji!

Sito shangaa siku Martin Kadinda akipigwa hadharani!

Heheheh sipati picha dume zima linapigwa vibao na wema....
 
Word! Wema unaweza kukuta amepanga haya yote ili kuuza zaidi kipindi chake! Hii imekaa kibiashara zaidi japo kwa ninavyo muona Wema hashindwi kupiga mtu kabisa maana hakubali kushindwa na nimjuaji!

Atakayekubali kupigwa na Wema naye mpumbavu.

Kwa sababu sioni kama ana ubavu wa kupigana na mtu hata kwa dakika 10.

Natamani sana kama kuna wanaopigwa na huyo msichana siku wamdindie wazipige kweli kweli tuone kama ataweza kupigana.

Eti mtu unapigwa...unapigwa kwa misingi gani?

Hao watu wangekuwa na attitude kama mimi hakuna ambaye angepigwa. Ingekuwa ni kupigana tu na kuhakikisha aliyeanza hashindi.
 
Inavyo onesha huyu binti ni mkorofi, naona domo alikua analabuliwa makofi ya fastafasta. Alipo choka kuonewa mwenyewe akatafuta gym ilipo na akafanikiwa kututumusha misuli
 
Atakayekubali kupigwa na Wema naye mpumbavu.

Kwa sababu sioni kama ana ubavu wa kupigana na mtu hata kwa dakika 10.

Natamani sana kama kuna wanaopigwa na huyo msichana siku wamdindie wazipige kweli kweli tuone kama ataweza kupigana.

Eti mtu unapigwa...unapigwa kwa misingi gani?

Hao watu wangekuwa na attitude kama mimi hakuna ambaye angepigwa. Ingekuwa ni kupigana tu na kuhakikisha aliyeanza hashindi.

hahahaha
Tatizo wale wana muogopa sana! Fikiria mtu ana mke lakini kila muda yuko nyuma ya makalio ya Wema kwanini siku moja asimtandike kibao?
 
hahaha mke wa petit ana moyo sana

Huyu Petit ndio shemeji wa Diamond sasa nimeelewa kwanini nilisikia Diamond alikuwa hamkubali jamaa! Yani huyu hana shughuli ya kufanya? au pale nyumbani kwa Wema ndio ofisi? Wema atakuwa ana walipa!
 
hahahaha
Tatizo wale wana muogopa sana! Fikiria mtu ana mke lakini kila muda yuko nyuma ya makalio ya Wema kwanini siku moja asimtandike kibao?

Wanachomwogopea ni nini? Ni kwamba ana maguvu sana kuwashinda au?

Ana bahati anajua ku mess na watu wajinga wajinga.
 
Hili lidada huwa silipendi basi tu.Na tena kumbe ana roho ya kikatili ndio basi nazidi kulichukia

yaani lina roho mbaya.
Hapo lazima hao vijana wamebakwa maskin ya Mungu.
Yaan hao mafundi wangekua ndo ndugu zangu wamefabyiwa hivyo yaan hicho kitendo ningemfanyia huyu changudoa wa vibabu.
Hata hivyo anaonea mabwege ndo maana wanamuachia.
 
Kwa kweli mimi nimemjua zaidi kwenye kile kipindi chake cha in my shoes,ni mbishi na mkorofi hapendi kukosolewa kabisa!
Mimi siwezi kuishi naye tungepigana hadharani!

Hahahaa! Umefanya niombee sana muanze kuishi pamoja kazi yangu iwe kukusanya ndoo za popcorn. Ila wapambe wake ndo wanamharibu sana na kumfanya awe kama mtemi mtemi.
Ova
 
Back
Top Bottom