Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Word! Wema unaweza kukuta amepanga haya yote ili kuuza zaidi kipindi chake! Hii imekaa kibiashara zaidi japo kwa ninavyo muona Wema hashindwi kupiga mtu kabisa maana hakubali kushindwa na nimjuaji!
Sito shangaa siku Martin Kadinda akipigwa hadharani!
Word! Wema unaweza kukuta amepanga haya yote ili kuuza zaidi kipindi chake! Hii imekaa kibiashara zaidi japo kwa ninavyo muona Wema hashindwi kupiga mtu kabisa maana hakubali kushindwa na nimjuaji!
best upoo?
Petit kwa wema si ndo kazini kwake?
Atakayekubali kupigwa na Wema naye mpumbavu.
Kwa sababu sioni kama ana ubavu wa kupigana na mtu hata kwa dakika 10.
Natamani sana kama kuna wanaopigwa na huyo msichana siku wamdindie wazipige kweli kweli tuone kama ataweza kupigana.
Eti mtu unapigwa...unapigwa kwa misingi gani?
Hao watu wangekuwa na attitude kama mimi hakuna ambaye angepigwa. Ingekuwa ni kupigana tu na kuhakikisha aliyeanza hashindi.
hahaha mke wa petit ana moyo sana
hahahaha
Tatizo wale wana muogopa sana! Fikiria mtu ana mke lakini kila muda yuko nyuma ya makalio ya Wema kwanini siku moja asimtandike kibao?
View attachment 208813
Huyo wa mbele ndo petit ana mke ila anashinda nyuma ya wema kama mkia wake wema mwenyewe anawaita "my boys"
hii mijanaume sijui fyatu
Ha ha ha ha Petiti ni mkaka mbeba pochi wa Wema
View attachment 208813
Huyo wa mbele ndo petit ana mke ila anashinda nyuma ya wema kama mkia wake wema mwenyewe anawaita "my boys"
hii mijanaume sijui fyatu
Heheheh sipati picha dume zima linapigwa vibao na wema....
Hili lidada huwa silipendi basi tu.Na tena kumbe ana roho ya kikatili ndio basi nazidi kulichukia
hahahaha
Tatizo wale wana muogopa sana! Fikiria mtu ana mke lakini kila muda yuko nyuma ya makalio ya Wema kwanini siku moja asimtandike kibao?
Kwa kweli mimi nimemjua zaidi kwenye kile kipindi chake cha in my shoes,ni mbishi na mkorofi hapendi kukosolewa kabisa!
Mimi siwezi kuishi naye tungepigana hadharani!
Mi nilijua Petit ni kale ka mbwa kake, kumbe ni mtu? Mwenye picha ake anipatie please na mm nimjue petit