kichungwaa
Member
- Oct 21, 2014
- 70
- 15
Yani hata mimi uwa nashangaa sana jaman kila siku kiguu na njia kwa wema han mda wa kutulia mke wake jitu zima et linaitwa toto yan mie ngekuwa uyo esma piga marufuku haraka iyo tabia.Huyo petit hashindi kwake na mkewe,,aiseee huyu sio mume yaan muda wote ni msukulee wa wema,