Watu warefu vs watu wafupi

Hivi mtu mfupi ni centimetre ngapi na mtu mrefu ni centimetre ngapi? Naomba kujua ili nichangie maada.
 
Watu wafupi wana ongoza kwa kugongwa na magari maana una weza zani jani lime pita kumbe mtu[emoji41]
Awapi wanaoongoza kwa kugongwa na magari ni warefu Kwasababu wafupi hua gari likipita wao wanakua wako salama kwasabu wanakua chini ya uvungu wa gari
 
Watu wafupi wanabahati, mvua ikinyesha wao wanakua wamwisho kuloa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…