Steve nyerere ana centimetre ngapi? naomba nijue ili nikusaidie kujua upo kundi gani?Hivi mtu mfupi ni centimetre ngapi na mtu mrefu ni centimetre ngapi? Naomba kujua ili nichangie maada.
Mimi nipo mikoani yeye yupo Dar nitajuaje ana centimetre ngapi?Steve nyerere ana centimetre ngapi? naomba nijue ili nikusaidie kujua upo kundi gani?
Vipi we ulivyomuona unahisi kama umemzidi utakua umemzidi centimetre ngapi?Mimi nipo mikoani yeye yupo Dar nitajuaje ana centimetre ngapi?
Amenizidi yeye kwa urefu lakini namimi wapo niliowazidi urefu, sasa nashindwa kuelewa mtu ili awe mrefu anatakiwa awe na centimetre ngapi.Vipi we ulivyomuona unahisi kama umemzidi utakua umemzidi centimetre ngapi?
Hivi kuna MTU anayekubali mapungufu yake kirahisi rahisi??Wafupi wanatabia nyingi kwanza hua hawapendi kukubali tabia zao au mapungufu yao
HAhaaa wewe uwe na amani kama kakuzidi steve katika haya makundi mawili we haupo kokoteAmenizidi yeye kwa urefu lakini namimi wapo niliowazidi urefu, sasa nashindwa kuelewa mtu ili awe mrefu anatakiwa awe na centimetre ngapi.
Kwa watu wafupi hakuna anaekubaliHivi kuna MTU anayekubali mapungufu yake kirahisi rahisi??
Pamoja mkuu mi mwenyewe ndo walewale wafupi.Hahahaha haya mkuu, ila you made my day
Haya mzee baba!! Hata Hasheem thabiti ni mrefu kwa Michael Jordan, sasa sijui definition ya urefu na ufupi ni ipi?HAhaaa wewe uwe na amani kama kakuzidi steve katika haya makundi mawili we haupo kokote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naskia hua vinaroho mbaya et kwasababu ubongo uko karibu na makalio
Hii nadhani ni kwa MTU yoyote hakuna MTU anayekubali mapungufu yake!!Kwa watu wafupi hakuna anaekubali
Hapo kuna Tall, Taller na Tallest. Thabiti ni tallest kwa huyo jordan ila sio kwamba jordan ni mfupi sijui kama umenipata? sasa wewe mwenyewe umesadiki kua steve nyerere ni mrefu kwako kwaiyo iko hivi steve ni short lakini ikaonekana wewe ni mfupi zaidi ya steve hatuwezi kusema wewe ni short hapo tutakua tumefanya makosa kwa kuwaweka katika rank moja na steve wakati kakuzidi hivyo hapo wewe utawekwa kwenye kundi lingine ambalo tutaweza kuwatofautisha na steve ambalo ni shortestHaya mzee baba!! Hata Hasheem thabiti ni mrefu kwa Michael Jordan, sasa sijui definition ya urefu na ufupi ni ipi?
Nakuona tu unavyokwepa mapungufu yako kwa kutumia mapungufu yako ya ufupi[emoji16]Hii nadhani ni kwa MTU yoyote hakuna MTU anayekubali mapungufu yake!!
Kwahiyo Steeve ni mrefu kuliko mimi!!Hapo kuna Tall, Taller na Tallest. Thabiti ni tallest kwa huyo jordan ila sio kwamba jordan ni mfupi sijui kama umenipata? sasa wewe mwenyewe umesadiki kua steve nyerere ni mrefu kwako kwaiyo iko hivi steve ni short lakini ikaonekana wewe ni mfupi zaidi ya steve hatuwezi kusema wewe ni short hapo tutakua tumefanya makosa kwa kuwaweka katika rank moja na steve wakati kakuzidi hivyo hapo wewe utawekwa kwenye kundi lingine ambalo tutaweza kuwatofautisha na steve ambalo ni shortest
Ufupi si upungufu au kilemaHii nadhani ni kwa MTU yoyote hakuna MTU anayekubali mapungufu yake!!
Mimi nimefanya kunukuu ulichokisema kwenye post #44Kwahiyo Steeve ni mrefu kuliko mimi!!
Mkuu mpaka Steve amekuzidiAmenizidi yeye kwa urefu lakini namimi wapo niliowazidi urefu, sasa nashindwa kuelewa mtu ili awe mrefu anatakiwa awe na centimetre ngapi.