Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

Hivi mtu mfupi ni centimetre ngapi na mtu mrefu ni centimetre ngapi? Naomba kujua ili nichangie maada.
Steve nyerere ana centimetre ngapi? naomba nijue ili nikusaidie kujua upo kundi gani?
 
Vipi we ulivyomuona unahisi kama umemzidi utakua umemzidi centimetre ngapi?
Amenizidi yeye kwa urefu lakini namimi wapo niliowazidi urefu, sasa nashindwa kuelewa mtu ili awe mrefu anatakiwa awe na centimetre ngapi.
 
Amenizidi yeye kwa urefu lakini namimi wapo niliowazidi urefu, sasa nashindwa kuelewa mtu ili awe mrefu anatakiwa awe na centimetre ngapi.
HAhaaa wewe uwe na amani kama kakuzidi steve katika haya makundi mawili we haupo kokote
 
HAhaaa wewe uwe na amani kama kakuzidi steve katika haya makundi mawili we haupo kokote
Haya mzee baba!! Hata Hasheem thabiti ni mrefu kwa Michael Jordan, sasa sijui definition ya urefu na ufupi ni ipi?
 
Haya mzee baba!! Hata Hasheem thabiti ni mrefu kwa Michael Jordan, sasa sijui definition ya urefu na ufupi ni ipi?
Hapo kuna Tall, Taller na Tallest. Thabiti ni tallest kwa huyo jordan ila sio kwamba jordan ni mfupi sijui kama umenipata? sasa wewe mwenyewe umesadiki kua steve nyerere ni mrefu kwako kwaiyo iko hivi steve ni short lakini ikaonekana wewe ni mfupi zaidi ya steve hatuwezi kusema wewe ni short hapo tutakua tumefanya makosa kwa kuwaweka katika rank moja na steve wakati kakuzidi hivyo hapo wewe utawekwa kwenye kundi lingine ambalo tutaweza kuwatofautisha na steve ambalo ni shortest
 
Kwahiyo Steeve ni mrefu kuliko mimi!!
 
Naitwa Castr Magige ni mwakilishi wa SPU (Short People United) kanda ya Kusini, nataka niseme kwamba, uchunguzi wa miaka 7 umegundua kwamba watu warefu wengi wana vibamia na ni mashoga. Case study Kaoge na Otile Brown.

Lakini pia wajinga wengi ni warefu. Tanzania One wote hakuna alitezidi urefu wa Futi 5.7.

Kingine, utafiti wa 1987 jijini Muñchen uligundua kua watu warefu hutangulia kufa kwa miaka mitano zaidi ya wafupi, ila hali hua mbaya zaidi kwa mrefu halafu upande dominant kwake ni kushoto. Huyu huishi pungufu ya miaka 6.

Ila pia watu warefu wengi huongoza kwa kulelewa na wanawake mfano Calisa na Shamte anayemmega mama Diamond.

Na pia demand ya wanaume wafupi ni ya juu mno. Mfano kuanzia mwaka 2011 mpaka 2016xhamster, xnxx na world porn wametoa takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake wengi walisearch video za andunje mara 10,000 zaidi ya video za porn star warefu wote kwa ujumla wao.

Natanguliza shukrani.

Nipo hapa kwa maswali zaidi.
 
Back
Top Bottom