Watu warefu vs watu wafupi

Watu wafupi
wakisimama zaidi ya
mmoja kwa mbali
utafikiri shamba la
UYOGA

UZURI WA WATU WAFUPI HATA
AKIANGUSHA SIMU HAIPASUKI KIOO...

shida ya watu
wafupi yaani
akimeza mate tu
mkojo unabana
 
Dah mpaka porn star wanopendwa ni andunje
 
Watu wafupi
wakisimama zaidi ya
mmoja kwa mbali
utafikiri shamba la
UYOGA

UZURI WA WATU WAFUPI HATA
AKIANGUSHA SIMU HAIPASUKI KIOO...

shida ya watu
wafupi yaani
akimeza mate tu
mkojo unabana
Pili uzuri wa watu wafupi naskia hawainami wanapofunga kamba za viatu
 
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye
jarida la British Medical Journal, imeelezwa
kuwa watu warefu wana asilimia kubwa ya
kufanikiwa kimaisha ukilinganisha na watu
wafupi.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye
jarida la British Medical Journal, imeelezwa
kuwa watu warefu wana asilimia kubwa ya
kufanikiwa kimaisha ukilinganisha na watu
wafupi.
Na kwa Mujibu wa tafiti zinasema watu warefu huishi miaka 4 mpaka 6 pungufu ya watu wafupi.

Na kaburini huendi na kitu.
 
ufupi raha sana yani ata kudondosha smartphone haivunjiki...

Tabu inakuja pale kwa ntu nrefu anapo ambiwa na ntu nfupi kua nywele zake zinanukia vizuri...ntu nrefu anashindwa kuelewa ni nywele gani izo?...
 
Mimi ni mrefu..
changamoto mojawapo ni kwenye daladala hususan hizi za chuga na za mwanza yani ukikaa kwenye siti ugoko unabanwa ile mbaya usiombe usimame sasa... unajikunja mithili ya twiga anayetaka kunywa maji
 
uchunguzi unaonyesha watu wafupi wako
hatarini kuumwa mafua kwa kuwa pua zao
zipo karibu na vumbi.
Uchunguzi unaonyesha watu warefu wako hatarini kufa kwa kukosa oksijeni kwakua layer ya oksjeni mwisho ni futi 6.
 
Namshukulu Mungu sana kila nikikatiza naitwa hyo mlefu , huyo kaka mlefu , kuna kaka mlefu, we mlefu njoo uweke taa, we mlefu tungua hyo , walefu nyuma yan had raha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…