Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

Watu wafupi wanahasira sana kwakua moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unachemka tu!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naskia hua vinaroho mbaya et kwasababu ubongo uko karibu na makalio
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ngazi ili tengenezwa kwa ajili ya watu wafupi
Namshukulu Mungu sana kila nikikatiza naitwa hyo mlefu , huyo kaka mlefu , kuna kaka mlefu, we mlefu njoo uweke taa, we mlefu tungua hyo , walefu nyuma yan had raha,
 
Wafupi ni wajinga sana halafu mna roho mbaya

hata katika sekta muhimu wengi hampewi kipaumbele kwa upimbi wenu (udereva,upolisi,uanajeshi nk)

Watu wafupi huanza kujiwenga kwanza wao halafu wengi hawafurahii muonekano wao wa nje utakuta kavaa mibuti mikubwa ili tu imbust asidharaulike na mbele ya watu

Ahahhaha Naona imekugusa.

Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.

Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.

Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?

Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.

Ndimi Castr Magige,

Mwakilishi Kanda ya Kusini,

Short People United (SPU),

SLP 1, Igwachanya.
 
Kabisa mkuu hujakosea na ndiyo maana hawa watu wanapenda kujishtukia sana hiyo ndiyo sababu inayowapelekea kuwa wakorofi na wabishi kupita maelezo
 
Ahahhaha Naona imekugusa.

Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.

Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.

Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?

Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.

Ndimi Castr Magige,

Mwakilishi Kanda ya Kusini,

Short People United (SPU),

SLP 1, Igwachanya.
Teh teh teh basi tufupi tunalinga twenyewe tunapokuwa na mtetezi makini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ahahhaha Naona imekugusa.

Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.

Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.

Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?

Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.

Ndimi Castr Magige,

Mwakilishi Kanda ya Kusini,

Short People United (SPU),

SLP 1, Igwachanya.
mkuu yakupasa uwe mwenyekiti kitaifa, unatuwakilisha vyema hata huku kanda ya ziwa, nmeanza kujivunia ufupi wangu
 
Back
Top Bottom