Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

Urefu na ufupi ni kazi ya Mungu

Mimba na kitambi ni ujinga wako mwenyewe[emoji3][emoji3]
 
Ahahhaha Naona imekugusa.

Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.

Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.

Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?

Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.

Ndimi Castr Magige,

Mwakilishi Kanda ya Kusini,

Short People United (SPU),

SLP 1, Igwachanya.
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]

Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
 
Naitwa Castr Magige ni mwakilishi wa SPU (Short People United) kanda ya Kusini, nataka niseme kwamba, uchunguzi wa miaka 7 umegundua kwamba watu warefu wengi wana vibamia na ni mashoga. Case study Kaoge na Otile Brown.

Lakini pia wajinga wengi ni warefu. Tanzania One wote hakuna alitezidi urefu wa Futi 5.7.

Kingine, utafiti wa 1987 jijini Muñchen uligundua kua watu warefu hutangulia kufa kwa miaka mitano zaidi ya wafupi, ila hali hua mbaya zaidi kwa mrefu halafu upande dominant kwake ni kushoto. Huyu huishi pungufu ya miaka 6.

Ila pia watu warefu wengi huongoza kwa kulelewa na wanawake mfano Calisa na Shamte anayemmega mama Diamond.

Na pia demand ya wanaume wafupi ni ya juu mno. Mfano kuanzia mwaka 2011 mpaka 2016xhamster, xnxx na world porn wametoa takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake wengi walisearch video za andunje mara 10,000 zaidi ya video za porn star warefu wote kwa ujumla wao.

Natanguliza shukrani.

Nipo hapa kwa maswali zaidi.
Hivi otile ni shoga kweli?
 
Teh teh teh basi tufupi tunalinga twenyewe tunapokuwa na mtetezi makini [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaa sasa sijui huyo mtetezi wao kapewa uongozi kwasabu amewazidi kidogo wenzake?
 
Mlefu ndio nini mkuu?
Namshukulu Mungu sana kila nikikatiza naitwa hyo mlefu , huyo kaka mlefu , kuna kaka mlefu, we mlefu njoo uweke taa, we mlefu tungua hyo , walefu nyuma yan had raha,
 
Wamekukosea nini mbona wawaongelea kwa chuki ivyo?
Hapana ni namna ambavyo umenitafsiri vibsya tu siko na maana hiyo ya kujenga chuki na wafupi ila nitabia ambazo zipo
 
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]

Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
Nani anenepe wewe watu tuna six packs we unaleta stori za vitambi!!!?
 
Sasa hizo six packs zinaenea kwa mtu mrefu? Umewahi kuona six packs za Arnold? Moja ipo kiwalani nyingine Kariakoo
Hahaa we kumbe ndo yule short wa pale bombom uko sawa na taili la guta?
 
Back
Top Bottom