Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

Mhhh, ngoja tuwaulize wanaume wafupi kuhusu hili...Diamond njo ulete ukweli wako, ufupi wako (5'6) unakukera nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe mkweli mkuu.Au nimemdanganya?Maana mishumaa ya kwaresma huwa minene na vimo vifupi bila kusahau tambi nene nyeusi.Gosh!What a coincidence! Shorties might play those candles perfectly!
 
Wafupi kweli wanazingua kwa kweli natafuta demu mrefu maana hata wafupi hawajiamini kabisaa
 
Ubaguzi tayali umeanza kutunyemelea watanzania,maana sasa tumeanza kutoleana kasoro.mbaguzi si mzungu hata ss waafrica tunabaguana mfano mleta mada kaacha kuandika mambo ya maana anakuja na maada ya warefu na wafup huo ni ubaguzi....
Stanley Mahenge nakusoma sana Kingo ...ulivyo mfupi lazima umind
 
aisee kuona kichwa cha mada tu nikajua lazima haya yaandikwe ila hii yote inatokana na mgogoro wa kisaikolojia hivyo sioni jipya kuhusu uzi huu.
 
ufupi raha sana yani ata kudondosha smartphone haivunjiki...

Tabu inakuja pale kwa ntu nrefu anapo ambiwa na ntu nfupi kua nywele zake zinanukia vizuri...ntu nrefu anashindwa kuelewa ni nywele gani izo?...
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom