Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Steve nyerere ana centimetre ngapi? naomba nijue ili nikusaidie kujua upo kundi gani?
Wafupi wanatabia nyingi kwanza hua hawapendi kukubali tabia zao au mapungufu yao
Wamekukosea nini mbona wawaongelea kwa chuki ivyo?Naskia hua vinaroho mbaya et kwasababu ubongo uko karibu na makalio
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]Ahahhaha Naona imekugusa.
Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.
Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.
Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?
Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.
Ndimi Castr Magige,
Mwakilishi Kanda ya Kusini,
Short People United (SPU),
SLP 1, Igwachanya.
Hivi otile ni shoga kweli?Naitwa Castr Magige ni mwakilishi wa SPU (Short People United) kanda ya Kusini, nataka niseme kwamba, uchunguzi wa miaka 7 umegundua kwamba watu warefu wengi wana vibamia na ni mashoga. Case study Kaoge na Otile Brown.
Lakini pia wajinga wengi ni warefu. Tanzania One wote hakuna alitezidi urefu wa Futi 5.7.
Kingine, utafiti wa 1987 jijini Muñchen uligundua kua watu warefu hutangulia kufa kwa miaka mitano zaidi ya wafupi, ila hali hua mbaya zaidi kwa mrefu halafu upande dominant kwake ni kushoto. Huyu huishi pungufu ya miaka 6.
Ila pia watu warefu wengi huongoza kwa kulelewa na wanawake mfano Calisa na Shamte anayemmega mama Diamond.
Na pia demand ya wanaume wafupi ni ya juu mno. Mfano kuanzia mwaka 2011 mpaka 2016xhamster, xnxx na world porn wametoa takwimu zinazoonyesha kwamba wanawake wengi walisearch video za andunje mara 10,000 zaidi ya video za porn star warefu wote kwa ujumla wao.
Natanguliza shukrani.
Nipo hapa kwa maswali zaidi.
Hahaa sasa sijui huyo mtetezi wao kapewa uongozi kwasabu amewazidi kidogo wenzake?Teh teh teh basi tufupi tunalinga twenyewe tunapokuwa na mtetezi makini [emoji16][emoji16][emoji16]
Namshukulu Mungu sana kila nikikatiza naitwa hyo mlefu , huyo kaka mlefu , kuna kaka mlefu, we mlefu njoo uweke taa, we mlefu tungua hyo , walefu nyuma yan had raha,
HahaaaMfupi kila sehemu weeeeeeee, tuko vizuri Mandingo anasubiri
Hapana ni namna ambavyo umenitafsiri vibsya tu siko na maana hiyo ya kujenga chuki na wafupi ila nitabia ambazo zipoWamekukosea nini mbona wawaongelea kwa chuki ivyo?
SawaHapana ni namna ambavyo umenitafsiri vibsya tu siko na maana hiyo ya kujenga chuki na wafupi ila nitabia ambazo zipo
Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]
Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
Hoja ya kibwege sana hii
Nani anenepe wewe watu tuna six packs we unaleta stori za vitambi!!!?Naona unatumia sifa yako ya ubishi ipasavyo[emoji23] [emoji23]
Nyie vitunchi mtulie nyie mtaishia kunenepa ila kurefuka msahau
au kifusi cha mchangaWatu wafupi wana ongoza kwa kugongwa na magari maana una weza zani jani lime pita kumbe mtu[emoji41]
k'koo unapita miguuni kwa watu safi kabisaUfupi raha sana unasimama kwenye hiace bila kugonga juu
Six packs zitaenea kwenye tumbo fupi?? labda 2.5packsNani anenepe wewe watu tuna six packs we unaleta stori za vitambi!!!?
Sasa hizo six packs zinaenea kwa mtu mrefu? Umewahi kuona six packs za Arnold? Moja ipo kiwalani nyingine KariakooSix packs zitaenea kwenye tumbo fupi?? labda 2.5packs
Aiseeeek'koo unapita miguuni kwa watu safi kabisa
Embu mwambie huyu mimi nina six pack kama van dammeNani anenepe wewe watu tuna six packs we unaleta stori za vitambi!!!?
Hahaa we kumbe ndo yule short wa pale bombom uko sawa na taili la guta?Sasa hizo six packs zinaenea kwa mtu mrefu? Umewahi kuona six packs za Arnold? Moja ipo kiwalani nyingine Kariakoo