Ahahhaha Naona imekugusa.
Sasa tafiti hupingwa kwa tafiti.
Osama ni mfupi? Mbona alihangaika kulipua wenzake hovyo.
Trump? Obama? Bush? Ni wafupi mbona ile war on terror inawaua waarab wengi sana? Na mbona wanapenda sana kuwawekea wenzao vikwazo?
Nikisema warefu wajinga mnanuna. Sasa sekta muhimu ni udereva? Uanajeshi? Uaskari? Manina kwahiyo enzi magari hakuna maisha yalikua hayaendi? Rudi shule ukaone nchi zinazoishi bila jeshi.
Ndimi Castr Magige,
Mwakilishi Kanda ya Kusini,
Short People United (SPU),
SLP 1, Igwachanya.