Watu warefu vs watu wafupi

Watu warefu vs watu wafupi

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
525
Reaction score
1,155
Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi

Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu

Kwanza wengi wako na mvuto attractive

Wako na uwezo wa kuelewa haraka

Nguo zimetengenezwa kwa ajili ya watu warefu na watoto

Hizi ni baadhi ya sifa za watu wafupi

Kwanza kabisa hawa watu wafupi wana asili ya ubishi na wengi wao wakorofi

Pia ni wahudhuriaji wazuri wa maduka ya nguo za watoto

Wagumu kuelewa ila wakijua wamejua ni ngumu sana kusahau

Inasadikika wako na mapenzi ya dhati kuliko watu warefu

Taja sifa na changamoto unazopata kama mtu mrefu au mfupi
 
Ubaguzi tayali umeanza kutunyemelea watanzania,maana sasa tumeanza kutoleana kasoro.mbaguzi si mzungu hata ss waafrica tunabaguana mfano mleta mada kaacha kuandika mambo ya maana anakuja na maada ya warefu na wafup huo ni ubaguzi....
 
Back
Top Bottom